Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kasoro vidudu tuu [emoji23]Unataka ukatuletee matobholwa,mbowoto,michembe,ntwili na makopa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasoro vidudu tuu [emoji23]Unataka ukatuletee matobholwa,mbowoto,michembe,ntwili na makopa?
Ok.Usisahau kansolele.
Kazima kasoma dada angu ECA,Kwa hiyo wanafanya matusi barabarani?Wapi hapo?Mibirani,Ng'ambo,Isevya,Ipuli,Kwa Hassan Mawese,Minazi Mikinda,Geti la Milambo Sekondari kwa Mama "Asumani",Kipalapala,Kwa Ka anyenyela,Itetemya,Kariakoo,Kwa Gondwe,kwa Masempele,Kachoma,Kazima,Uzuri wa Kondoo,Chekeleni,Mnadani maili saba,Kwa Mpumunti,Kandiloni,Kwa Boga au wapi?[emoji848]
Wenye High IQ ndio hao wanaonyeshana umwamba huko Kwa teknolojia za kivita na kumwagana Damu Acha na sisi tuendeleze vita yetu dhidi ya ngono ni mabomu ya shawaha tuu,,kila mmoja akale aliko peleka mboga.Limkoa likubwa kuliko(Burundi+Rwanda) limejaa watu wenye low IQ
Tabora 45K luxury unafika,
Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba ya upwiru na upatikanaji wa wana upwiru hasa wenye virutubisho mpakato.
Toka kitambo si kwa waliosoma Tabora, waliopita, kibiashara, kikazi, wote wanakiri kuwa Tabora Kwa ngono na urahisi wa ngono ni kawaida sana.
Mabinti wa Tabora wanapewa baraka za kufanya hayo na wazazi na walezi wao na sio jambo geni bali ni utamaduni wao wa kuyaishi mapenzi.
Kama wapo wanaobisha tukutane chini kwenye comments.
Tabora ni moto na Tabora ni mama lao, si mishangazi, si vitoto si midada Tabora ni next level.
Kama kawa kama kawaida kama dawa Tabora ni kitovu cha kutibu upwiru.
Ni hayo tu
Wadiz
Asante kwa kuweka bayana sehemu za kuutoa upwiru kwenye viunga vya Tabora 🙏🙏🙏 wakuu chukueni notebooks zenu hizo sehemu ni muhimuKwa hiyo wanafanya matusi barabarani?Wapi hapo?Mibirani,Ng'ambo,Isevya,Ipuli,Kwa Hassan Mawese,Minazi Mikinda,Geti la Milambo Sekondari kwa Mama "Asumani",Kipalapala,Kwa Ka anyenyela,Itetemya,Kariakoo,Kwa Gondwe,kwa Masempele,Kachoma,Kazima,Uzuri wa Kondoo,Chekeleni,Mnadani maili saba,Kwa Mpumunti,Kandiloni,Kwa Boga au wapi?🤔
Umenkumbusha watu wangu akina Babu aka mwalimu Peter,Mama Muhoja,Mwl Safia Ndagula,Mbahekile,Biziriko,Mwl Abas na wengine wengi.🙏Kazima kasoma dada angu ECA,
Tanga wanajificha wanasubiria Giza na kuogopana Tabora ndio makao makuu ya raha ya ngonoSi nasikia Tanga ndio mapenzi yalikozaliwa au Mimi ndio sielewi?.
Huwa wanakudanganya/wanakusyenteka.Si nasikia Tanga ndio mapenzi a yalikozaliwa au Mimi ndio sielewi?.
Nipo huku tuli, musoma utalii natafuta za kwenda nazo kanyenye huku mtaa wa pili kwa wa efu mbili mbiliUnataka ukatuletee matobholwa,mbowoto,michembe,ntwili na makopa?
Ukifika pale mjini mitaa ya Kitete uwasabahi mafundi viatu Kwawa na wenzake.Nipo huku tuli, musoma utalii natafuta za kwenda nazo kanyenye huku mtaa wa pili kwa wa efu mbili mbili
Unasemea kitete kama unaenda game au unarudi townUkifika pale mjini mitaa ya Kitete uwasabahi mafundi viatu Kwawa na wenzake.
Kama unatokea Kazembe/Kanyenye.MUnasemea kitete kama unaenda game au unarudi town
Tabora yetu ni kama torontoMsipotoshe ya wanyamwezi tafadhali.
Mtuachie Tabora yetu kwa amani, kinachowaponza Wanyamwezi ni ukarimu wao tuu.
Mgeni anakirimiwa na mlo ulioandalowa mahsusi, sio kiporo.
Wakati anasubiri chakula kiandaliwe atapewa karanga na asali
Chakula kikiiva ni ugali wa dona kuku wa kienyeji mboga za majani zilizoungwa na karanga (nsansa na nswalu)
Akimaliza kula ataletewa maziwa na matobolwa wakati anamalizia maongezi
Akiwa anaondoka atafungashiwa mahama.
Kama ni mgeni wa kukaa zaidi ya siku tatu, siku ya nne anatoka na wenyeji wake kwenda shamba.
Wanyamwezi ni wakarimu.... Ila wakikasirika utakimbia na tai kichwani.....
Kuna wageni waliolowea Tabora kama wanyamwezi wanawachakachua sana wanyamwezi, (majirani wanaoizunguka tabora... waha, wanyarwanda waliolowea Kahama, wanyiramba na wanyaturu n.k.)
Tabora ni yetu, amani na utulivu ni wetu.