Nitafika kote huko na nitaleta mrejesho kama kipindi kile nilipoenda kanda ya ziwaKuna uniformity kubwa ya kitabia mkoa wa Tabora nenda igunga, Nzega, Sikonge, kaliua, Tabora mjini kote tabia ni moja, na Ndumba za mapenzi kama zote
Wahenga walishasema 'Mzigo mzito mpe Mnyamwezi' nimekuelewa mkuu, Ila ile story yako ya ex aliekua anakuepelekea Moto nilikuelewa zaidi
Ulisomaga hapo lumber.....Umenkumbusha watu wangu akina Babu aka mwalimu Peter,Mama Muhoja,Mwl Safia Ndagula,Mbahekile,Biziriko,Mwl Abas na wengine wengi.[emoji120]
Hapana.Ulisomaga hapo lumber.....
Haina nouma mshuaHapana.
Naona anaruka ruka hicho kipande [emoji3] kila comment unamkumbusha ila amechagua kutokujibuWahenga walishasema 'Mzigo mzito mpe Mnyamwezi' nimekuelewa mkuu, Ila ile story yako ya ex aliekua anakuepelekea Moto nilikuelewa zaidi
Kweli kabisa, Tabora ni mkoa wa hajabu sana.Limkoa likubwa kuliko(Burundi+Rwanda) limejaa watu wenye low IQ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabora hamna haja ya kutongoza, kuomba namba au kujua jina la demu..
Unapigapiga nae tuu story gafla unajikuta teyari ushamsukumizia msonobari
Sasa eneo kama hilo halifai, watu wametumika sana.Kule nilikuta mtoto wa miaka 13 ana mabwana mtaa mzima na kuna jamaa wa makamo nilionyeshwa alizimia wakati anakula hako katoto baada ya kupelekewa moto na dogo
Matobolwa na mahama ni nini?Msipotoshe ya wanyamwezi tafadhali.
Mtuachie Tabora yetu kwa amani, kinachowaponza Wanyamwezi ni ukarimu wao tuu.
Mgeni anakirimiwa na mlo ulioandalowa mahsusi, sio kiporo.
Wakati anasubiri chakula kiandaliwe atapewa karanga na asali
Chakula kikiiva ni ugali wa dona kuku wa kienyeji mboga za majani zilizoungwa na karanga (nsansa na nswalu)
Akimaliza kula ataletewa maziwa na matobolwa wakati anamalizia maongezi
Akiwa anaondoka atafungashiwa mahama.
Kama ni mgeni wa kukaa zaidi ya siku tatu, siku ya nne anatoka na wenyeji wake kwenda shamba.
Wanyamwezi ni wakarimu.... Ila wakikasirika utakimbia na tai kichwani.....
Kuna wageni waliolowea Tabora kama wanyamwezi wanawachakachua sana wanyamwezi, (majirani wanaoizunguka tabora... waha, wanyarwanda waliolowea Kahama, wanyiramba na wanyaturu n.k.)
Tabora ni yetu, amani na utulivu ni wetu.
Ni wilaya gani nzuri zaidi kukaa kiuchumi, kuufugaji au kilimo ili nihamie kwenu?Kuna msemo huwa unasema....
Baada ya kukaa na sisi kwa siku nzima au wiki nzima, mazuri yetu yachukue, mabaya yetu tuachie...
Wanyamwezi wanajituma kwenye shughuli za kilimo, Tabora hakuna njaa, huwezi kutqna na mnyamwezi ana kwashakoo au amedhoofu kwa kukosa chakula.
Tunaamini mtu akila akashiba kuna mawili, atakutendea mema au kutendea wengine mema, au atakugeuka atakutendea mabaya maana amepata nguvu ya kufanya ubaya au ataenda tendea wengine ubaya...
Sisi tunawakirimu watu kwa chakula wale washibe hadi wasaze, halafu hatujali malipo. Ila Mnyamwezi aliyekasirika kaa nae mbali, usijesema hukuambiwa mapema.
Tabora tunalima mahindi, maharage, viazi vitamu, karanga, ufuta na tumbaku kama mazao ya chakula na biashara.
Asali ipo ya kiasili na kurina kwa kutengeneza mizinga ya nyuki kwa ajili ya biashara.
Tuna mifugo ya kutosha, ng'ombe na mbuzi hivyo nyama na maziwa yapo tele. Tunafuga kuku wa kienyeji ni wakubwa hadi unaweza kushangaa na usiamini kama ni kuku.
Hayo ni mazuri na mema ya wanyamwezi, yachukue ukayaendeleze.
Mabaya utayokutana nayo yaache kama yalivyo, ukiyachukua sio tuu unaenda kuyasambaza na kuwaanika wanyamwezi, bali unajiharibu na wewe maana sifa/tabia ni nguo... utajikuta ili uisimulie vizuri/uisambaze itakuwa umeivaa matokeo yake unaowasimulia na kuwasambazia watakuona wewe ndio sio....
Wanyamwezi tumekaa palee....🤓.
View attachment 2792192
View attachment 2792193
View attachment 2792194View attachment 2792201
View attachment 2792202
Shee naenda kutoa taarifa.
Mnazungumzia wanyamwezi gani hao? Hawana shepu ni irregular. Kwa kule ukiona wenye shepu ni wasukuma. Wanyamwezi shepu watoe wapi? Labda awe amechanganya na msukuma au mtutsi.Kama unapenda kwa.mpalange tabora utahamia .na wanamakalio balaa