Kila mwanaume, kila mwanamke ana pair zake akikutana nazo ni rahisi sana kula au kuliwa

Kila mwanaume, kila mwanamke ana pair zake akikutana nazo ni rahisi sana kula au kuliwa

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli bila kujali madhara yake nje ya upeo wa fahamu zenu.

Mimi wakati nimeshaoa niliwahi kukutana na mwanamke wa ki-Finland ambaye haiba zetu zilimatch once tulipokutana tu, nilimtongoza kwenye basi na ukweli nilifanikiwa kwenda kulala naye siku hiyo hiyo mchezo ukaendelea hivyo mpaka siku naondoka alihisi amepoteza mtu muhimu sana maishani mwake.

Kuchepuka hakuepukiki.
 
Kwanini unasema "alihisi amepoteza mtu muhimu sana kwenye maisha yake ".???

Vipi kama alikuwa anakutumia tu, unafahamu kuwa siku hizi hata wanaume tunatumiwa na wanawake kama tunavyowatumia wao?
Unakutana na mtu mnajikuta mnapendana bila sababu yaani mnajikuta kwenye ulimwengu wenu mnaoujua wenyewe bila kujali status ya kila mmoja wenu just Love kila mmoja anampenda mwenzake bila sababu.. hiyo ndio pair sasa nayozungumzia
 
Kwanini unasema "alihisi amepoteza mtu muhimu sana kwenye maisha yake ".???

Vipi kama alikuwa anakutumia tu, unafahamu kuwa siku hizi hata wanaume tunatumiwa na wanawake kama tunavyowatumia wao?
Sure.

Binafsi nilishaligundua hilo nikiingia mahusiano huwa simpi mtu umuhimu nami vilevile sijipi umuhimu kwake no matter ananiigizia kiasi gani, huwa naona natumika tu. Na mara nyingi baada ya muda inadhihirika kweli nililengwa kutumika.
 
Hiyo tunaita mwenza wa rohoni yani mmetoka chanzo kimoja.
Na ukibahatisha kupata mke wa rohon utaenjoy maisha ya huba.
 
Back
Top Bottom