Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

Namshukuru Mungue Kwa yote hadi miaka hii niliuofikisha Duniani!!
Ubarikiwe mwana wa aliye juu,

Daudi anasema, tangu ujana hata uzee wangu,

Sijawahi kuona mwenye HAKI ameachwa,

Wala watoto wake kurandaranda mabarabarani Kwa kukosa chakula.

Limebarikiwa sana Jina Lako, EE Mwenyezi Mungu.

Amen
 
Salaam , Shalom!!

Hakuna Cha Bure yupo MMILIKI , mtoaji, Muumba wa vyote,

Sisi WANADAMU Kwa ujumla wetu, masikini Kwa tajiri, mgonjwa Kwa mzima, mrefu Kwa mfupi, mweupe Kwa mweusi nk nk tunavuta PUMZI ya uhai Bure kabisa.

Wema Kwa waovu, tunapata Bure PUMZI ya uhai.

Wenye dini Kwa wapagani, tunaye Mungu mmoja atupaye Pumzi ya uhai Bure.

Wote Kwa nafasi zetu, tupite katika Uzi huu kumshukuru Mungu Kwa Kila nama atakayokujalia kumsifu na kumshukuru.

Ukiquote mstari wa Neno la Mungu, ni sawa, ukiweka wimbo ni sawa, ukishukuru Kwa maneno ya kinywa chako ni sawa, na hata ukisema tu "ASANTE", yatosha.

Karibuni🙏
2Wafalme 3:7

Tembea humo Mtumishi wa Bwana
 
Mkuu

Umeshachungulia ukaona ukombozi wa Taifa umekaribia!!?

Mjoli wa Bwana anakaribia kutwaa kitara!!?

Jina la Bwana lihimidiwe!!
 
Hawana akili nawapa za uso.

Kajibadilisha kuwa mwanadamu, ili ajiue mwenyewe(yeye ni Mungu hawezi kufa), ifanyike sadaka kwake yeye mwenyewe.

Huoni hadithi hizo?
Wanaelewa basi? Eti tulizaliwa tukakuta hivyo, na sisi tukafata mkumbo,na watoto wetu lazima wafate.

Ukisema akili hawana,utaonekaana mbaya. Kama aloleta hayo mwendawazimu? Si wao yale yale tuuu
Hakuna haja ya kufika kote huku wazee.

Alimradi maisha mliyoyachagua mmeridhika nayo na hayaonyeshi kumkera yeyote vizuri waacheni waliochagua njia zao nao wazifuate,mbona hamna case hapo?
 
Zab.7: 17

"Nitamshukuru Bwana kwa kadri ya haki yake; Nitaliimba jina la Bwana aliye juu."
 
Back
Top Bottom