Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

Mungu uaminifu wake kwangu siwezi kusogeza hata hatua Moja bila uwepo wake
 
Alhamdulillah.
Ninakushuku Allah kwa neema ulizonijaalia[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1607487948605.jpg
 
Tangulia mbele yangu BWANA 2024🇹🇿

Tuendelee kumshukuru Mungu 🙏
 
Zab 72:8

Na ahimidiwe Bwana Mungu, Mungu wa Israel, apewe sifa. Yeye peke yake hutenda mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom