Ubarikiwe mwana wa aliye juu,Zab.7: 17
"Nitamshukuru Bwana kwa kadri ya haki yake; Nitaliimba jina la Bwana aliye juu."
Ni uchokozi tu,Hakuna haja ya kufika kote huku wazee.
Alimradi maisha mliyoyachagua mmeridhika nayo na hayaonyeshi kumkera yeyote vizuri waacheni waliochagua njia zao nao wazifuate,mbona hamna case hapo?
Ndo niniNani amshambulie?? Mbwa ukishamjua jina hakusumbui
Ubarikiwe.Mungu uaminifu wake kwangu siwezi kusogeza hata hatua Moja bila uwepo wake
AmenMungu atubariki mtumishi
Wewe na baba ako mkubwa Kiranga ipo siku mtakiri Mungu yupo. Ni suala la mudaYahweh na Allah ni miungu iliyotengenezwa na jamii za kiarabu kwenye zama za chuma.
Haina maana yeyote, ni hadithi za kutungwa.
Ukipatikana ushahidi, mbona chapu tu.Wewe na baba ako mkubwa Kiranga ipo siku mtakiri Mungu yupo. Ni suala la muda
Mfyuuu!! ππUkipatikana ushahidi, mbona chapu tu.
Mbona hujashukuru?Ahsante kwa taarifa...