Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Hahahahaaaa. Lol.

Wanajiitaga wazee wa Samba mie nasema hamna cha samba wala nini zaidi ya kukimbia kimbia tu.

Atusamehe kwa kweli Team Brazil sababu nimechomelea msumari wa moto.
Unajua hasaa kunitosha kidonda Hajar
 
hongera mkuu
Nilipiga mazoezi ya tumbo kwa miezi 3 nikawa na eight packs...
RATIBA YANGU KWA SASA
•Asubuhi napiga push ups 100(25x4) kwa dakika 5 namaliza push ups 100,
Squats 50.
•Jioni push ups 100 kwa mfumo wa asubuhi na mazoezi ya tumbo.




Wanaume na mikoani hatuna mambo ya booster (Karaga, nazi na Mihogo) kwetu mihogo ni chakula.
 
Hahahahaaaa. Lol.

Wanajiitaga wazee wa Samba mie nasema hamna cha samba wala nini zaidi ya kukimbia kimbia tu.

Atusamehe kwa kweli Team Brazil sababu nimechomelea msumari wa moto.
tena na huo mchezo wa neymar watapata taabu sanaa,,

neymar- ana style inaitwa "njoo nikuoneshe"

ronaldinho- ana style inaitwa "nakufata nakuonesha na nakuacha"

ronaldo de lima- ana style inaitwa "nizuie lakini napita"

hiyo ndo tofauti, brazil hii kazi mnayo
 
Congratulations mkuu
 
mkuu tahajudi ndo nn?
 
Hahahaaa. Umejua kuwapanga aiseee. Kama juzi Neymar anakuja kuibuka dk zimeshakwisha.

Nimezipenda sana hizo style zao kwa jinsi ulivyozichambua.

Sesten Zakazaka haya ona post no [HASHTAG]#285[/HASHTAG] uone Brazil yako na wachezaji wake jinsi 1kush africa alivyowachambua. Teh teh
 
Duuh! Haya bana Mtani.

Hivyo Mama Itengejha anaipata pata. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aangalie game ya leo, wote wana style ambazo ukichanganya utaona dk 90 ndogo sanaaaa
 
hii ratiba naichukua huenda nikawa na 12 packs [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…