Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?

MAZOEZI NI AFYA
Huwezi fanya mazoezi peke yako tafuta kampan maana utafanya kidogo utakata tamaa jaribu kutafuta mtu awe anakusimamia au kukuongoza na jiwekee muda wa mazoezi haani ukiingia chumba cha mzoezi utakaa mda gani hadi umalize kama utafanya hivyo ndani ya wiki yakikuingia vizuri kuacha hilo sahau maana mwili unakuwa unadai hata ikifika mda wa mazoezi kunahali fulani unajisikia hadi uanze kufanya ndo inatoweka uaani kiufupi ukiyazoea utaenjoy sana
 
Mimi nlikuwa hivyo zamani lkn nikatafuta sehem ya kukimbia ambayo nitakutana na watu wa kunipa hamasa....UDSM imekuwa sehem sahihi sn mwaka wa 2 huu kila siku jioni nakimbia 5km
 
Kwanza mazoezi ukitaka kufanikiwa ni kujituma kwa kujitoa hasahasa na ukichoka usiseme nimechoka jilazimishe na jipe moyo kuwa namaliza sasa hivi hivyo hivyo siku wiki mwezi mwaka mwili unafunguka
ok mkuu
 
Mimi nlikuwa hivyo zamani lkn nikatafuta sehem ya kukimbia ambayo nitakutana na watu wa kunipa hamasa....UDSM imekuwa sehem sahihi sn mwaka wa 2 huu kila siku jioni nakimbia 5km
ok, nami ntaanza hivo
 
Back
Top Bottom