1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #121
safi sanaaaaMkuu acha uvivu, mimi nilianza mazoezi two years ago,
Nilikuwa siwez kupiga hata push ups 3 but now napiga mpaka 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sanaaaaMkuu acha uvivu, mimi nilianza mazoezi two years ago,
Nilikuwa siwez kupiga hata push ups 3 but now napiga mpaka 100
Hata wewe unaweza kutia mchango wako hapa
Na kunywa. Na mimi nataka nianze zoezi jamaniSina mchango wowote na hayo mambo mm niambie mambo ya kula tu sio diet wala mazoezi
Na kunywa. Na mimi nataka nianze zoezi jamani
Hahahahahaaa. Nikianza mazoezi ndo ntakua puto sasa. Maana ntakua namaliza na njaa kilo kumi. Mlo wake sio wa kitotoHahhahah nilisahau na kunywa we bwana hutaweza diet yenyewe inakushindwa
Hahahahahaaa. Nikianza mazoezi ndo ntakua puto sasa. Maana ntakua namaliza na njaa kilo kumi. Mlo wake sio wa kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani kama nakuona
nakutumia PMWeka picha kaka
nimeamua mkuuBado hujaamua kufanya mazoezi, siku ukiamua hutaacha
heeee [emoji23]Na kunywa. Na mimi nataka nianze zoezi jamani
okSiku ukiamua utaweza wala hakuna uchawi
nakutumia PM
nimetuma lakini iko pm yako iko LockFanya upesi kaka nagonjeka
nimetuma lakini iko pm yako iko Lock
mmmh kwa mzigua tena? [emoji23] [emoji23]Tuma kwa mzigua kaka itafika
mmmh kwa mzigua tena? [emoji23] [emoji23]
eeh ndo NEC yenu hiyooooo,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna kaka nimekuraisishia pm yake ipo wazi
Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
sipigi nyeto, siishi dsmSwali la kizushi, kwani wewe ni mpiga punyeto uliyebobea au mwanamme wa Dar?