Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kwanza penda mazoezi, hili jambo na nia ya kufanya mazoezi itoke moyoni.

Fikiria matokeo ya mazoezi katika mwili wako, Fikiria mwili Unavyokuwa relaxed baada ya zoezi, Fikiria utakavyoweza kudhibiti adui yako, Fikiria Utakavyokuwa na sex body n.k

Fanya mazoezi siku inapoanza, asubuhi, ukiwa na nguvu zako.... Sio jioni, mwili ukiwa umechoka

Fanya mazoezi kwa mtindo wa mchezo (namna inayokufanya ufanye mazoezi huku unafurahia). Mfano kama ni mchezaji wa mpira, cheza mpira na hapo utakuwa Umefanya mazoezi ya kukimbia, kuruka, kunyosha viungo n.k

Best luck brother
dah, itabidi niingie na uwanjani nitafute njumu kabisa, maana jino 6 sijazoea kabisa naweza tegua enka
 
Mimi nilikua naruka kamba nikaacha ikabidi nilipie gym yaan naenda huku nimenuna!!

Na hapo ndiyo kwanza nina week mbili toka nilipie.

hapa nimesema ikiisha silipii tena sema nimepungua sasa sijui nitafumuka tena
 
Back
Top Bottom