Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe.
Yote kwa yote mimi nafsi yangu imesamehe, ila haitasahau matukio yafuatayo ambayo moja kwa moja vyombo vya dola inabidi vihusishwe kwa maana matukio yote haya hakuna mrejesho wa upelelezi wowote uliofanyika;
. Kifo cha AC Mawazo.
. kupotea Kwa Azory Gwanda, nahisi wameshamuua tu.
. Kupotea kwa Benn Saanane, nahisi keshauawa tu.
. Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
I am strong enough to let it go - Albart Mangwea 2013 Clouds FM.