Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

Tukisema katiba mpya iharakishwe, watu wanakomaa kulinda mamlaka yao........katiba mpya itaweka misingi ya taasisi za serikali yakiwemo majeshi kufanya kazi bila interference ya wanasiasa and in a professional way........
 
Chama kinacho kaa mda mrefu ni ngumu kutoka kwa mariziano bali kitatoka kwa haya:
*kumwaga damu hiwe kwa vita au maandamano
*jeshi kupindua serikali.

Na ili wanalitambua litafikia tamati hipo siku niliota na kuandika ukafutwa
 
Back
Top Bottom