Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ina Maana!?Kagame bila ubaguzi mkuu anachukua yeyote regardless ametoka wapi.
Mkuu no 1 ajaye nchini una ID ngapi? Tukupendekeze mchangiaji bora jukwaa la siasa?Mkuu
Niliwahi kuandika kwa I'd nyingine,
MADHARA YA CHAMA KIMOJA KUKAA MADARAKANI KWA MUDA MREFU NI HAYA,WENYE MAMLAKA CHUKUENI HATUA.
WATU ni wathamani kuliko ITIKADI za vyama vyao,kwanini wauane kisa ITIKADI za vyama!!?
Wameacha cha kimejihakikishia Madaraka KWA Muda mrefu,lazima WATU wauane tu kama Hivyo!!
Nenda ka type HIYO title usome!!
Hii na hiyo mkuu!!we jamaa!Mkuu no 1 ajaye nchini una ID ngapi? Tukupendekeze mchangiaji bora jukwaa la siasa?
Kikwete na Kinana bado wanadunda na hao ndio wahusika wakuu!Wahusika wanakusikia, wengine walishakufa kwa maumivu ya moyo sababu ya hatia, waliobaki still nao wanateketea ndani kwa ndani kwa maumivu ya damu isiyo na hatia, mfano wale madereva waliowafata wapelekwe kutolewa kafara
Chama Cha MambuziAmani yetu inaharibiwa na mataahira wanaojificha ndani ya CHANZO CHA MATATIZO
Raia wenyewe watachakua hatua za kutatua.Watawala wa dunia hii hawana uwezo wa kutatua matatizo ya ukosefu wa amani.
Ova
Ila kweli CCM ni genge la kigaidiHuwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe.
Yote kwa yote mimi nafsi yangu imesamehe, ila haitasahau matukio yafuatayo ambayo moja kwa moja vyombo vya dola inabidi vihusishwe kwa maana matukio yote haya hakuna mrejesho wa upelelezi wowote uliofanyika;
. Kifo cha AC Mawazo.
. kupotea Kwa Azory Gwanda, nahisi wameshamuua tu.
. Kupotea kwa Benn Saanane, nahisi keshauawa tu.
. Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
I am strong enough to let it go - Albart Mangwea 2013 Clouds FM.
View attachment 2452281
😭😭😭Kuna vifo vinauma haswa hadi unatamani usinge wajua, mfano huyu jamaa