Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Dec 20, 2022 Thread starter #21 TOHATO said: Akwilina Akwilina Akwilina Nadhani angepeswa kuwa namba mbili hapo Click to expand... Wote hao
TOHATO said: Akwilina Akwilina Akwilina Nadhani angepeswa kuwa namba mbili hapo Click to expand... Wote hao
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Dec 20, 2022 #22 Tukisema katiba mpya iharakishwe, watu wanakomaa kulinda mamlaka yao........katiba mpya itaweka misingi ya taasisi za serikali yakiwemo majeshi kufanya kazi bila interference ya wanasiasa and in a professional way........
Tukisema katiba mpya iharakishwe, watu wanakomaa kulinda mamlaka yao........katiba mpya itaweka misingi ya taasisi za serikali yakiwemo majeshi kufanya kazi bila interference ya wanasiasa and in a professional way........
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 20, 2022 #23 Chama kinacho kaa mda mrefu ni ngumu kutoka kwa mariziano bali kitatoka kwa haya: *kumwaga damu hiwe kwa vita au maandamano *jeshi kupindua serikali. Na ili wanalitambua litafikia tamati hipo siku niliota na kuandika ukafutwa
Chama kinacho kaa mda mrefu ni ngumu kutoka kwa mariziano bali kitatoka kwa haya: *kumwaga damu hiwe kwa vita au maandamano *jeshi kupindua serikali. Na ili wanalitambua litafikia tamati hipo siku niliota na kuandika ukafutwa
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Dec 20, 2022 #24 Mtoto wa mama mkwe said: Kuna vifo vinauma haswa hadi unatamani usinge wajua, mfano huyu jamaa Click to expand... Huyu alikuwa nani pae chadema!
Mtoto wa mama mkwe said: Kuna vifo vinauma haswa hadi unatamani usinge wajua, mfano huyu jamaa Click to expand... Huyu alikuwa nani pae chadema!
Exile JF-Expert Member Joined Feb 21, 2021 Posts 1,477 Reaction score 3,642 Dec 20, 2022 #25 Crimea said: Huyu alikuwa nani pae chadema! Click to expand... Huyu alikufa kwa ajali tu, anaitwa mtoi, alikua mgombea ubunge tanga, alikua hana siasa za maji taka kama baadhi yetu
Crimea said: Huyu alikuwa nani pae chadema! Click to expand... Huyu alikufa kwa ajali tu, anaitwa mtoi, alikua mgombea ubunge tanga, alikua hana siasa za maji taka kama baadhi yetu
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Dec 20, 2022 #26 TOHATO said: Akwilina Akwilina Akwilina Nadhani angepeswa kuwa namba mbili hapo Click to expand... hivi yule DED wa Kinondoni wa wakati ule yupo wapi sasa?
TOHATO said: Akwilina Akwilina Akwilina Nadhani angepeswa kuwa namba mbili hapo Click to expand... hivi yule DED wa Kinondoni wa wakati ule yupo wapi sasa?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 20, 2022 #27 Elli said: Chama Cha Mambuzi Click to expand... Mambuzi yamesema hayana chama ila Chama Cha Mashetani kinawasingizia tu mambuzi ili kuficha uhalisia wao
Elli said: Chama Cha Mambuzi Click to expand... Mambuzi yamesema hayana chama ila Chama Cha Mashetani kinawasingizia tu mambuzi ili kuficha uhalisia wao