Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Inasikitisha.Pole sana.Msamehe (sijakwambia urudiane nae).Kama amekwama msaidie.Sio kila tunaowasaidia wawe wametutendea wema.Msaada wako utamkumbusha mengi,Ni funzo kwake na majuto yasiyokwisha.Kama unauwezo mpe msaada mkuu.

Sawa Mkuu, nitajitahidi kuufanyia Kazi Ushauri Wako,
 
Sasa Mkuu unaweza kumlazimisha mtu kusoma, je alienda tu akakaa darasani kisha muda wa Kutoka ukifika akatoka, kuna mambo unaweza mlazimisha mtu Mkuu ila sio ishu ya kusoma.
 
Sawa Mkuu hata mimi hill kisa siwezi Fanya, hawa viumbe sijui wanataka nini tu maishani mwao
 
Pole sana...umeoa sasa au hautaman hata kuoa tena

Asante Mkuu, bado Mkuu, ingawa nipo Kwenye mahusiano ila bado hatujapanga mambo ya ndoa, ila kusema ukweli nimekuwa muoga sana linapokuja swala la wanawake, hata huyu niliye naye nakaa naye kwa tahadhri Kubwa sana
 
BAADHI YA WANAWAKE SIJUI HUWA MNATAKA NINI KWA KWELI
Wajitafakari sana.

Ila mkuu kama una moyo ww msaidie tu ila isirudiane nae ni mzazi mwenzio huyo akipotea watoto wako watakuwa wamepoteza mama yao.

Sawa Mkuu ila alishaendelea na maisha yake kwani kama nilivyosema ana Mtoto na mtu mwingine Sasa ingawa nasikia huyo aliyezaa naye kamwavhia Mtoto katokomea.
 
Asante Mkuu, bado Mkuu, ingawa nipo Kwenye mahusiano ila bado hatujapanga mambo ya ndoa, ila kusema ukweli nimekuwa muoga sana linapokuja swala la wanawake, hata huyu niliye naye nakaa naye kwa tahadhri Kubwa sana
Usikae nae muda mrefu piga-tambaa utafurahia maisha
 
Hivi, it's a true story ama!, pole sana nimesoma yote kama movie vile ,ila huyo Dada ana roho ngumu sana, anyway wasalimie hao madogo

Yeah ,it is a very true story mkuu. Acha kabisa, kuna watu wana roho aisee, sema marafiki, Ndugu sio watu wa kuwasikiliza sana maana wanaweza kukupoteza maxima. Nitawasalimia mkuu
 
Inasikitisha sana ila muhimu ni kusamehe na kusonga mbele, ipo nguvu kubwa sana nyuma ya msamaha.

Sawa nitajitahidi Mkuu, ila dah, unajitoa kwa mtu 100% halafu inakuja kukufanyia hv, inauma sana Mkuu we acha tu sikia kwa wengine tu.
 
Sawa nitajitahidi Mkuu, ila dah, unajitoa kwa mtu 100% halafu inakuja kukufanyia hv, inauma sana Mkuu we acha tu sikia kwa wengine tu.
Halafu mtu mwenyewe uliyejitoa ni form4 failure? Unless alikuwa na wezere la kutosha
 
Je alikoenda utamu aliupata? Maana kazalishwa katelekezwa na mtoto
Nyie mlikuwa mnapiga huku mnachat whatsapp. One Mama Chibu alivyotulizwa na unemployed Ankali. Wanawake wanataka pumzi sio kugusa gusa
 
Ila nilishaenda mpaka kwao na nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha. On top if that baada ya kufuma ile sms nilimuomba msamaha sana ila akakata, ndo kisa cha kuondoka na kwenda kwao.
 
Ila nilishaenda mpaka kwao na nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha. On top if that baada ya kufuma ile sms nilimuomba msamaha sana ila akakata, ndo kisa cha kuondoka na kwenda kwao.
Mwanamke huwa hasamei akikubamba na sms/whatsapp au akikufumania live. Niliwahi kukutwa na kondomu 2004 mfuko wa suruali tukiwa wachumba mpaka leo (November 2019) anakumbushia.
NB:
Usimuombe mwanamke msamaha maana hutasemehewa asilani japo wakat wa tukio atajidai kakusamehe.
 
Asante boss., ila hiki kisa kisikufanye ushindwe Kutafuta mwenza wa maisha yako Mkuu, sio wanawake wote Wako kama huyu wa kwangu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…