NothinGold
Member
- Nov 2, 2019
- 56
- 216
- Thread starter
- #81
Pole mkuu
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu
Dah nimesisimka sana asee kuna watu mnapitia changamoto sana. Pole mkuu bado nipo nipo kwanza.
Dunia njia msamehe mwenzio usijione we uko correct ssna
Sawa Mkuu nitaufanyia Kazi Ushauri wakoNimejifunza kusamehe kwa faida yangu mwenyewe!
Wewe unayekosewa ndiye mwenye jukumu la kumsamehe mkosa!
Ukimsamehe mambo yako mengi yatafunguka na kufanikiwa zaidi!
Inasikitisha.Pole sana.Msamehe (sijakwambia urudiane nae).Kama amekwama msaidie.Sio kila tunaowasaidia wawe wametutendea wema.Msaada wako utamkumbusha mengi,Ni funzo kwake na majuto yasiyokwisha.Kama unauwezo mpe msaada mkuu.
Nimesoma yote mzee...ila na wewe ulikuwa leiziafea sana...mwanaume hutakiwi kuzidiwa sauti na mwanamke...yaani mwanamke anakataaje tu from nowhere...na wewe unakubali tu amekataa...
Hapo hakuna cha kusamehe wala nini...ulishamsamehe siku mingi...ila kama zamani hakuna...
Mkuu niko na dogo (mwanangu) pembeni kalala. Kisa uluchopitia funzo kwako na kwa wengine.. Sio kila msichana yupo hivyo lkn wengi ndivyo walivyo na matokeo yake wanakuja kuomba msamaha. Wewe msamehe na uendelee na life yako. Ila chonde chonde usimpe nafasi.. Wallah tutakuzika..
Keep my word..
Pole sana...umeoa sasa au hautaman hata kuoa tena
BAADHI YA WANAWAKE SIJUI HUWA MNATAKA NINI KWA KWELI
Wajitafakari sana.
Ila mkuu kama una moyo ww msaidie tu ila isirudiane nae ni mzazi mwenzio huyo akipotea watoto wako watakuwa wamepoteza mama yao.
Usikae nae muda mrefu piga-tambaa utafurahia maishaAsante Mkuu, bado Mkuu, ingawa nipo Kwenye mahusiano ila bado hatujapanga mambo ya ndoa, ila kusema ukweli nimekuwa muoga sana linapokuja swala la wanawake, hata huyu niliye naye nakaa naye kwa tahadhri Kubwa sana
Hivi, it's a true story ama!, pole sana nimesoma yote kama movie vile ,ila huyo Dada ana roho ngumu sana, anyway wasalimie hao madogo
Mke wangu anaelekea huku.
WANAWAKE MNATAKA NIIIIIINI?
Wanataka utamuKwa kweli sijui wanawake huwa wanataka nini??
Inasikitisha sana ila muhimu ni kusamehe na kusonga mbele, ipo nguvu kubwa sana nyuma ya msamaha.
Wanataka utamu
Halafu mtu mwenyewe uliyejitoa ni form4 failure? Unless alikuwa na wezere la kutoshaSawa nitajitahidi Mkuu, ila dah, unajitoa kwa mtu 100% halafu inakuja kukufanyia hv, inauma sana Mkuu we acha tu sikia kwa wengine tu.
Nyie mlikuwa mnapiga huku mnachat whatsapp. One Mama Chibu alivyotulizwa na unemployed Ankali. Wanawake wanataka pumzi sio kugusa gusaJe alikoenda utamu aliupata? Maana kazalishwa katelekezwa na mtoto
Ukiona unakaribia kumjua mwanamke, ujue unakaribia kufa. Don't trust a woman
Cha msingi na cha muhimu. Kama mwenzako hachepuki ni bora na wewe usichepuke. Hii issue imeanzia kwenye "kuchepuka". Kumbuka linapokuja kwenye suala la kuchepuka kuna wengine usamehe na wengine hawasamehe.
Jamaa amsamehe ila asikubali kurudiana naye. Ila akumbuke huyo ni mzazi mwenzake hiyo haipingiki kwasababu watoto wanawaunganisha. Na ipo siku watakutana tu
Mwanamke huwa hasamei akikubamba na sms/whatsapp au akikufumania live. Niliwahi kukutwa na kondomu 2004 mfuko wa suruali tukiwa wachumba mpaka leo (November 2019) anakumbushia.Ila nilishaenda mpaka kwao na nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha. On top if that baada ya kufuma ile sms nilimuomba msamaha sana ila akakata, ndo kisa cha kuondoka na kwenda kwao.
Daah, pole Sana mkuu, pia hongera kwa uwasilishaji mzuri wa bandiko!!
Kweli hii story imenigusa Sana Mimi km kijana, Tena sijaoa napata wakati mgumu Sana kuhusu ndoa ,
Kikubwa walee watoto vizuri kbsa, hao upande wa pili achana nao na jiepushe nao mbali sanaaaaa Tena sanaaaaa, Maana machungu,tabu na shida wanazopitia Sasa hata kwa mganga wanaweza enda kukuroga,
Mungu akutangulie ktk majukumu yako na akutunze na familia yako!!