Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Mwanamke huwa hasamei akikubamba na sms/whatsapp au akikufumania live. Niliwahi kukutwa na kondomu 2004 mfuko wa suruali tukiwa wachumba mpaka leo (November 2019) anakumbushia.


Sawa Mkuu kama alikuwa hajasamehe angeendelea na maisha yake na kuniacha na wanangu Sasa kisa cha kuuza vitu vyangu nn, kuna uhusiano gani kati ya kusamehe na kuuza vitu?
 
Huyu mwanamke ni jini haki ingekua mimi ningekuwa nishamrestisha zamani...ila hata akituma msg milioni usimjibu mpotezee huyo mbwa alitaka kukuharibia maisha yako shetani huyo tena nahisi alikua anakucheat wakat haupo
 
Ningefanya kama wew,pengne zaidi yako!!hata yule jamaa aliotumia gunia 2 kumchoma mkewe nina hakika ana story ndefu sana ambayo inabidi kwanza tuisikie...hawa viumbe sio wenzetu
Kweli
 
Sawa Mkuu kama alikuwa hajasamehe angeendelea na maisha yake na kuniacha na wanangu Sasa kisa cha kuuza vitu vyangu nn, kuna uhusiano gani kati ya kusamehe na kuuza vitu?
Mwanamke anatunza kumbukumbu mbaya miaka yote ndo maana huwa sikiri kosa langu mbele yake hata iweje maana ukikiri ndo passport ya kukumbushia for the rest of your life
 


Mkuu hakuna sababu nyingine, migingano ilianza baada ya hyo sms, akaenda kwao nikamfuta nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha.

Labda marafiki walimponza maana kuna baadhi ya marafiki ambao nilikuwa namuonya sana aachane nao. Ila baada ya kuuza vitu kwa taarifa zisizo rasmi ndo alikuwa anaambatana nao ila baadae wakja kukorofishana sana, sijui ni baada ya hela aliyouza vitu kutisha , sijui
 
Tatizo lilikuwa ni wewe Kuomba msamaha tena mbele ya Mama yake.Hapo walikuona lofa
 
JOMAM

Asante Mkuu, Mkuu nilifanya kila linalowezekana kumrudisha huyo mwanamke akakataa , nikamwambia mpaka aende alikouza vitu akawaambie ameuza kwa makosa nimtumie hela awarudishie arudishe vitu nyumbani na yeye arudi nyumbani akakataa. Kwa hyo Mkuu ulitaka niwaache Watoto wage kwa utapiamlo, maana hali ya watoto ilikuwa inakaribia na watoto wenye utapiamlo kwa muda mchache ambao huyo mwanamke alikaa nao.?
 
Yeah alitembea miezi miwili baada ya kumchukua, yupo pre-unit kwa sasa, but he is too emotional
Vizuri.. Mungu akupe Maisha Marefu ulee watoto wako.. Achana kabisa na huyo Mwanamke.. Ni Mwanamke Mwenzangu ila kwa hilo alilolifanya ni Tukio la Kikatili sana.
 
Kwenye maelezo yako nimeona unasema unaweza kuonekana wewe ni mkatili" nikutoe hofu tu wewe sio mkatili. Msamehe tu huyo mwanamke ila usijishughulishe na mambo yake
 
Vizuri.. Mungu akupe Maisha Marefu ulee watoto wako.. Achana kabisa na huyo Mwanamke.. Ni Mwanamke Mwenzangu ila kwa hilo alilolifanya ni Tukio la Kikatili sana.

Asante Mkuu, hayupo Kwenye mipango yangu tena mkuu
 
Kwenye maelezo yako nimeona unasema unaweza kuonekana wewe ni mkatili" nikutoe hofu tu wewe sio mkatili. Msamehe tu huyo mwanamke ila usijishughulishe na mambo yake


Sawa boss, me sio mkatili kabisa nilikuwa provoked kwa kiwango cha juu kabisa ila nitajitahidi kuwa mvumilivu. Kuna Mchungaji Mmoja nilimsimuliaga hiki kisa akaniambia, pamoja na uchungaji Wangu nisingeweza kuvumilia uliyovumilia.
 
Utamalizia badae nadhani, hahahahaaa
Ulileta shobo ukweni ukadhan utapata sifa. Pengine hata baba mkwe alikufa kwa stress za mkewe. Ww ndo ukajidai Don.
NB:
Mkwe wangu nae alileta za kuleta. Hela zake anapeleka kanisani ila zangu ndo zimlishe na kusomesha wanae. Nikamchana live siku. Hajarudia. Bila ukauzu dunia hii hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…