naina19
JF-Expert Member
- Oct 8, 2019
- 294
- 510
Wanaume waliokua wanataka watoto mnapoacha bado wapo kweli!!?Mie mwanaume aniache tu watoto wangu simpi acha nife nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume waliokua wanataka watoto mnapoacha bado wapo kweli!!?Mie mwanaume aniache tu watoto wangu simpi acha nife nao.
Upumbavu wa vijana ambao hawajavepuka ndo huu sasaNilikuwa nimepanga Nyumba ya vyumba 3 yenye sitting room Kubwa dining room na jiko. Chumba changu kilkuwa chumba kweli kweli. Kitanda 6*6, kabati Kubwa la Nguo, carpet Kali sana la manyoya, na vikorokoro kibao. kusema ukweli chumba changu kilikuwa chumba kweli kweli
we kiazi Agera 1: umeisoma story lkn .....au ndo dish lako limeyumba?! Nyau wwUpumbavu wa vijana ambao hawajavepuka ndo huu sasa
🐱🐶🐯🐶🐱🐶we kiazi Agera 1: umeisoma story lkn .....au ndo dish lako limeyumba?! Nyau ww
Nyie ni majini. Tena majini makata na subhian. Yaani mnamtetea jini mwenzenu bila aibu.Kusema ukweli wewe ndiye chanzo cha matatizo na uone aibu kulalamika. "Unamla demu kiaina, sijui kipoozeo" shiiit. Ulitaka yeye afurahi kwa wewe kukosa uaminifu?.
Watu wengi hufanya makosa makubwa halafu wanataka wenza wao wayachukulie kawaida na wawapende kama mwanzo haifai.
Sahau hyo ng'ombe kabisa. Na siku ueleze watoto uhalisia wataamua wenyewe.Msamehe tu uwe huru moyoni mwako hata hivo s ushaamua kuendelea na maisha yako sasa kinachoufanya ushindwe kuwasamehe ni nn??
Acha dunia iwafunze barabara ww lea wanao tu wakikua watamtafta mama yao wakipenda lakini wasamehe
Soln, usimfanyie mema kwa kutarajia mema toka kwake.Nimesoma hiki kisa kwa kuchelewa lakini ngoja niweke comment yangu Wanaume wengi wanapitia au wamepitia matukio kama haya sema ni kwa vile hawajaamua tu kuyaanika humu.
Suala la msingi ni kumsamehe tu ukichunguza utakuta 80% au 90% ya wanawake ndo wapo hivyo. Utamfanyia mambo mengi mazuri lakini atakulipa kwa mabaya tena na matusi juu.
UKIWA MWANAUME HALISI HAYO NI SEHEMU YA MAJARIBU AMBAYO INAKUBIDI UKABILIANE NAYO.