Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Hivi huu uzi nishawahi kucomment??!! Kama bado nitie baraka [emoji16][emoji16]
 
Msamehe tu kwa faida yako na watoto wenu.

( Ila usirudiane nae )

Siku zote utajua thamani ya kitu pale utakapokipoteza
 
Nilikuwa nimepanga Nyumba ya vyumba 3 yenye sitting room Kubwa dining room na jiko. Chumba changu kilkuwa chumba kweli kweli. Kitanda 6*6, kabati Kubwa la Nguo, carpet Kali sana la manyoya, na vikorokoro kibao. kusema ukweli chumba changu kilikuwa chumba kweli kweli
Upumbavu wa vijana ambao hawajavepuka ndo huu sasa
 
Ulijichanganya ukaenda kuto..... Mademu wa uswahilini pole sana
 
Ndoa ndoa ndoa ndoa.

Hizi ndoa ni changamoto sana, wadau wanasema tutafute pesa, ona huyu jamaa ana pesa anamhudumia kila kitu mpaka famili yake lakini bado jitu halilidhiki.

Mi nachoamini, hawa wanawake ukiwa romantic sana lazima wakuzingue tu. Weka ukauzu kiasi, vikofi vidogo vidogo awe anakula.

Hizi mambo za kua romantic hizi ndo zinua ndoa zenu
 
Huyo kapoteza ramani ya maisha mwenyewe, mwanamke mpumbavu hula upumbavu wake,
 
Mke akishazaa na mtu mwingine ni kumuacha awe msimbe.
 
Kusema ukweli wewe ndiye chanzo cha matatizo na uone aibu kulalamika. "Unamla demu kiaina, sijui kipoozeo" shiiit. Ulitaka yeye afurahi kwa wewe kukosa uaminifu?.
Watu wengi hufanya makosa makubwa halafu wanataka wenza wao wayachukulie kawaida na wawapende kama mwanzo haifai.
Nyie ni majini. Tena majini makata na subhian. Yaani mnamtetea jini mwenzenu bila aibu.
 
Msamehe tu uwe huru moyoni mwako hata hivo s ushaamua kuendelea na maisha yako sasa kinachoufanya ushindwe kuwasamehe ni nn??

Acha dunia iwafunze barabara ww lea wanao tu wakikua watamtafta mama yao wakipenda lakini wasamehe
Sahau hyo ng'ombe kabisa. Na siku ueleze watoto uhalisia wataamua wenyewe.
 
Nimesoma hiki kisa kwa kuchelewa lakini ngoja niweke comment yangu Wanaume wengi wanapitia au wamepitia matukio kama haya sema ni kwa vile hawajaamua tu kuyaanika humu.
Suala la msingi ni kumsamehe tu ukichunguza utakuta 80% au 90% ya wanawake ndo wapo hivyo. Utamfanyia mambo mengi mazuri lakini atakulipa kwa mabaya tena na matusi juu.

UKIWA MWANAUME HALISI HAYO NI SEHEMU YA MAJARIBU AMBAYO INAKUBIDI UKABILIANE NAYO.
 
Soln, usimfanyie mema kwa kutarajia mema toka kwake.
 
Back
Top Bottom