Hana CV ya maana kwani uzoefu kupata wapi?Swala la umri nalo walipe kipaumbele aisee..kuna jamaa kamaliza chuo 2009 na sasa anaumri wa miaka 43 kabakiza miaka 2 Dirisha la usajili lifungwe kwenye swala la kuajiriwa serikalini.Ajira za hv karibuni nazo amejaribu kuomba tena na anasema mpaka dirisha la usajili lifungwe ndo atainua mikono juu....Huyu unaenda kumshindanisha... sisemi kushindanisha ni jambo mbaya hapana unamshindanisha na aliyemaliza chuo mwaka jana mi nadhani CV yake huyu ndo ingempitisha kwa sababu hata akiajiriwa kabakiza miaka 17 tu ya kustaafu nalo hili waliangalie sana.

Wahitumu wa mwaka 2015 ,, 2016 mpaka 2020 wengi ukiwaona wamekatana tamaa ,,, giza la kupata kazii serikalini linazidi kutandaa kadri siku zinavyoenda ,,, tena hali inazidi kuwa mbaya kwa wale wa jinsia ya kiume ,, wapo 6 naowajua ukweli wamekata tamaa jamii inawashambulia kwa maneno dharau na kashfa za kila aina ,,, hawana familia hawana mbele wala nyuma kuna muda hata hawatamani watu wajue kama ni wahitimu wa chuo wenye degree zaoYaani wao hawajali chochote hapo wanawaza perdiem tu wajipigie katika hili Zoezi. Saa hizo ukiniuliza hupendi Nini hapa Tanzania, nitakwambia CCM na mambo yake yote.
Muda si mrefu tutaanza kusikia mtu kajitoa muhanga Tena anasubiri mkutano mkubwa kabisa wa yeyote. Mtu Hana mbele wa nyumbani anaachaje kusepa na nyomi ya watu??. Ukikosoa hadharani napo yanakukuta ya kina Soka na wengineWahitumu wa mwaka 2015 ,, 2016 mpaka 2020 wengi ukiwaona wamekatana tamaa ,,, giza la kupata kazii serikalini linazidi kutandaa kadri siku zinavyoenda ,,, tena hali inazidi kuwa mbaya kwa wale wa jinsia ya kiume ,, wapo 6 naowajua ukweli wamekata tamaa jamii inawashambulia kwa maneno dharau na kashfa za kila aina ,,, hawana familia hawana mbele wala nyuma kuna muda hata hawatamani watu wajue kama ni wahatimu wa chuo wenye degree zao
Sema sasa hamna lakufanya kuwasaidia watu hawa labda kuwaombea tu ukweli ukizuia ajira za majeshi yetu ya ulinzi na usalama na ajira za ualimu basi jua umeumiza mamilioni ya watoto wa masikini au watu wenye kipato cha chini..
John aliharibu sna mfumo ,,, john aliwatoa kafara wahitimu wa mwaka 2015 mpaka 2018 ,,, maana john hakuajiri kwa kipindi cha miaka 3 streight na hata alipoanza hakuwa na huruma wala hakutaka kuwakumbuka wahitimu wa miaka hiyo tajwa ..Pongezi Kwa John mjenga SGR 😆😆😆😆
Ni mda wa kupanda Sgr badala ya Kulalamikia ajira,
Wanufaika wa mfumo utawabaini Kwa comments zao.Hana CV ya maana kwani uzoefu kupata wapi?
Pili Tija yake ni ndogo ameshazeeka ,ila ingekuwa ni kazi za Ufundi basi huyo ndio angekuwa na soko.
Mimi ñawashauri wale jamaa zangu wasio na uhakika wa kupita kwenye hiyo interview yao, wakiitwa wawajibu majibu ya jeuri tu ili hata wakikosa; wasijutie. Maana siku zote dawa ya ujeuri ni kiburi. 😞
Nusu ya hao watakao ajiriwa lazima watakuwa tu na uhakika, kupitia kitu kinachoitwa connection.Kwani Kuna mwenye uhakika mkuu??
Labda Kwa namna hiyo sawa. Ukute hata hizi paper zinavuja eti(wenye connection zao).Nusu ya hao watakao ajiriwa lazima watakuwa na uhakika kupitia kitu kinachoitwa connection.
Nusu ya hao watakao ajiriwa lazima watakuwa tu na uhakika, kupitia kitu kinachoitwa connection.
SI KWELIAidha mwajiri makini hawezi kuajiri mtu mwenye GPA ya 2.6 akaacha mwenye GPA ya 4.3