Mimi naiona CCM ni chama cha upinzani ndani yake chenyewe.Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama....
wewe mataga jike naamini haya maelezo umemwandikia mataga mwenzako aliyeleta hii mada.Maneno Ya Vibendera Kila mwaka Ndio hivyo hivyo mpaka Mnaingia Kuzimu
Ulikuwa Hujabalehe unaongea Hivyo mpaka Utapata Wajukuu Haitabadili Ujinga wa Upinzani Tanzania
Kibendera Kimyaa zile Mbwembwe Kwisneywewe mataga jike naamini haya maelezo umemwandikia mataga mwenzako aliyeleta hii mada.
Hapo ndipo unapouona ukuu wa Mungu. Ametuficha tusione kilichomo ndani ya mtu hata yule wa karibu kabisa. Hivi tungekuwa na uwezo wa kuona kilichomo ndani ya mtu ingekuwaje?Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama....
kwani nikikataliwa kuna tatizo lolote kamanda?kwenye hili hata mataga wenzako akiwepo mleta mada wanakukataa 🤣 🤣 🤣
tatizo ni kucheleweshewa malipo yako ya buku 7 per 680 post.kwani nikikataliwa kuna tatizo lolote kamanda?
kwa huu ugoro unaondika sidhani kama utaendelea kupata malipo yako ya buku 7 per post 680.Kibendera Kimyaa zile Mbwembwe Kwisney
Sasa Subiria Uchaguzi wa Kikabila Kule kwenu Kibera
Maana Kwa Tanzania Imekula kwenu
Mkuu we mgeni na huyu jamaaKwa niaba watu wasiyojulikana ndiyo akina nani
Hebu nyoosha maelezo?
Au bwasheh leo mbege umetia kvant
Alafu wewe mchonganishi sana nishakushtukia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Lini kilipoteza! Chama cha watu wenye busara hakiwezi kuwapokea wabunge ambao chama hakijui walivyopatikana. Wabunge huanzia ndani ya chama na si nje ya chama.Wewe mnyasa uliona wapi chama kinapoteza nafasi 19 za wabunge kizembe namna hii?
Sasa joni tupemapendekezo yako,kutokana na hayo tuwaache Sadie jela,kwakuwa wanawageuka wanaowasaidia,ama tuwatie tuu kwakuwa wengine wanaenda hela kwa uonevu am tufanyeje.Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
Machadema vipi ruzuku mmepokea au? maana miongoni mwa wabunge wanaosababisha ruzuku ni pamoja na akina Mdee!Hakika bwashee na Marijani Rajab aliimba " Tenda wema uende usingoje shukurani"
Na wala haukumbuki Halima, Matiko na Bulaya walivyo bunjwa mikono na kudharirishwa na askari magereza kwa kumpigania Mbowe.Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama..
Maendeleo hayana vyama!
Mmmm. Bosi yaelekea kuna kitu kinakusumbua sana muda kitambo sasa kuhusu hatma ya CHADEMA na siasa za nji hii. Angalia uwezekano wa kupata ushauri nasaha wa msaikolojia makini.Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
Bwashee anajua sana kuuma na kupuliza.Kwa niaba watu wasiyojulikana ndiyo akina nani
Hebu nyoosha maelezo?
Au bwasheh leo mbege umetia kvant
Alafu wewe mchonganishi sana nishakushtukia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Bwasheh tena anapiga hku na hku hyoBwashee anajua sana kuuma na kupuliza.
Leo amevua miwani ya kijani kwa muda.
Wewe unaamini Mdee na Bulaya walivunjwa mikono?Na wala haukumbuki Halima, Matiko na Bulaya walivyo bunjwa mikono na kudharirishwa na askari magereza kwa kumpigania Mbowe.
Maendeleo hayana vyama bwashee!Bwashee anajua sana kuuma na kupuliza.
Leo amevua miwani ya kijani kwa muda.
Kwani aliyewaagiza wasimamizi kutochanganyiwa madiwani na wabunge ni bosi wako au Cdm ?!. Wewe unadhani kina Mdee & her co. wangelifanyaje chini vyombo (wasiojulikana). Hivi vilivyoweza kumtoa mtuhumiwa jela saa 2 usiku mkoa mwingine na kuwahi kuapa kesho yake asbh mkoa mwingine ?!@johnthebaptist .Maendeleo hayana vyama bwashee!