Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama....
Mimi naiona CCM ni chama cha upinzani ndani yake chenyewe.

Vipi mnaendeleaje na mpango wa manunuzi ya wakosoaji na wapinzani?
 
Maneno Ya Vibendera Kila mwaka Ndio hivyo hivyo mpaka Mnaingia Kuzimu
Ulikuwa Hujabalehe unaongea Hivyo mpaka Utapata Wajukuu Haitabadili Ujinga wa Upinzani Tanzania
wewe mataga jike naamini haya maelezo umemwandikia mataga mwenzako aliyeleta hii mada.
 
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama....
Hapo ndipo unapouona ukuu wa Mungu. Ametuficha tusione kilichomo ndani ya mtu hata yule wa karibu kabisa. Hivi tungekuwa na uwezo wa kuona kilichomo ndani ya mtu ingekuwaje?

Kwamba unamhangaikia mtu na kumchangia hata kidogo ulichonacho kwa ustawi wake halafu baada ya muda anakufanyia unyama uliopitiliza kama huu wa hawa Covid-19 waliochangiwa mamilioni kuwatoa magerezani halafu leo wanaungana na wale wale waliowatupa gerezani bila hata chembe ya huruma.
 
Wewe mnyasa uliona wapi chama kinapoteza nafasi 19 za wabunge kizembe namna hii?
Lini kilipoteza! Chama cha watu wenye busara hakiwezi kuwapokea wabunge ambao chama hakijui walivyopatikana. Wabunge huanzia ndani ya chama na si nje ya chama.
 
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
Sasa joni tupemapendekezo yako,kutokana na hayo tuwaache Sadie jela,kwakuwa wanawageuka wanaowasaidia,ama tuwatie tuu kwakuwa wengine wanaenda hela kwa uonevu am tufanyeje.
 
Nakupinga sana kwan ubatili wa upinzani mimi siuhoni hasa kwa kuwa kuna kitu upinzani na wapinzani.

Wapinzan wakibehave vibaya kwa utashi wao na tamaa zao si sawa kuhukumu upinzani kwa ujumla.

Nadhan wasaliti wachukuliwe hatua kwa maslai mazuri na mapana kwa upinzani na vyama vya upinzani
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
 
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama..

Maendeleo hayana vyama!
Na wala haukumbuki Halima, Matiko na Bulaya walivyo bunjwa mikono na kudharirishwa na askari magereza kwa kumpigania Mbowe.
 
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama...
Mmmm. Bosi yaelekea kuna kitu kinakusumbua sana muda kitambo sasa kuhusu hatma ya CHADEMA na siasa za nji hii. Angalia uwezekano wa kupata ushauri nasaha wa msaikolojia makini.

Usidhani uko peke yako. Watanzania wengi sana hivi sasa wanaandamwa na mkanganyiko wa mawazo kwa yanayoendelea [emoji848]
 
Na wala haukumbuki Halima, Matiko na Bulaya walivyo bunjwa mikono na kudharirishwa na askari magereza kwa kumpigania Mbowe.
Wewe unaamini Mdee na Bulaya walivunjwa mikono?

Za kuambiwa........by JK!
 
Maendeleo hayana vyama bwashee!
Kwani aliyewaagiza wasimamizi kutochanganyiwa madiwani na wabunge ni bosi wako au Cdm ?!. Wewe unadhani kina Mdee & her co. wangelifanyaje chini vyombo (wasiojulikana). Hivi vilivyoweza kumtoa mtuhumiwa jela saa 2 usiku mkoa mwingine na kuwahi kuapa kesho yake asbh mkoa mwingine ?!@johnthebaptist .

Maswali mengine huhitaji kujihoji. Kinachonishangaza ni kwanini alihakikisha anawapora majimbo na kisha kulazimisha kuwapa Covid 19 !!!!??
 
Back
Top Bottom