MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,885
Mimi naiona CCM ni chama cha upinzani ndani yake chenyewe.Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama....
Vipi mnaendeleaje na mpango wa manunuzi ya wakosoaji na wapinzani?