Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati

Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani

Napata makapi vinono navitamani
1720696961660.jpg
 
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati

Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani

Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725
Sasa hivi unaomba kujitolea bure, yaani hata msalani utaenda kile cha manispaa, Mnatudharaugi sana mkituona mitaani, karibuni kwenye real world.
 
Pole sana kuna dogo kasomea mafuta na gesi kazi hakuna, tumemchangia mtaji ss hivi anapambana kuuza simu..!
Ongea na familia ikuwezeshe
Familia zinatofautiana lamomy. Mm familia yangu hata nilipo sahiv haijui. Mana kuna familia ukileta mipango ya maendeleo huioni na pengine ukafeli kabisa.

Wanandug zang waliopat kazi serikalin hawajawahi kusema, unasikia tu kapata kazi kaenda kuripoti. Tangaza unachotaka kufanya uone. "Ukifanikisha nite jina lolote niko pale"

Kuna familia hata ukitaka kwenda mjini huagi, jambo la kimaendeleo halitangazwi hata kununua friji tu. Yani huko ukitema nchale, ukimeza nchale.. ukikaa vibaya unakula chuma ulale na njaa.. hizi zinaitwq Advanced marginalised communities
 
Pole sana hizo familia za ajabu mnawaza kurudishana nyuma na sio kusonga mbele.!!
 
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati

Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani

Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725

Safari njema ya msoto ,imarika ,chakalika ukiona mtaani hakuna dili ingia kwenye kilimo tu ndugu au wewe na kilimo hazipandi?
Mm naona cha kwanza jamaa kama karudi kwao baada ya kumaliza chuo, ahame mazingira hayo ili status yake huko anapoenda isilimit utayari wake wa kufanya kazi za casual au kuwa machinga

Pili, kijana usisikilize sana motivations mana ulaya kwa wTu wenye akili zao zinamake sense ila bongo sio zitam-danganya tu. Kuna jamaa yang mmoja kaajiriwq sehem hiv kama messenger analipwq 270k kila akinichek ananiambia habar za bigi drimz na kuandika miradi ya kumuona elon musk. Huyu mawazo ya aina hii yanamsababishia aone hapo yuko kwq mda tu lakin pia akose kuon fursa nyingine

Anaamin akitoka pale yeye anaingia tesla moja kwa moja. So miaka itaenda yey yuko palepale kama ajaona umuhim wa pengine hata wq kuichanga hii afungue kigenge pembeni ili akuze kipato. Fanya kilichopo, weka mipango realistic! Mengine muachie mungu wa imani yako kama unaamini
 
For ma advice don't change your mindset.
Tayari sasa unaenda kuwa mtumwa wa kila kitu,unaenda kuwa mtu wa ndio kila sehemu ili upate chochote.
Sasa hama uko,usiwe mbali sana na fkra zako kuwa postive mindset then komaa whatever.
Ajitoe, bosi anawez kumtriti kama anamsaidia tu. Wakati yeye mwenyew anaona kama ndo anamsaidia bosi wake kwa kusapoti operation za ofis kama cheap labour.

Muhimu aone hakuna pesa ndogo, kila pesa ina thamani, elimu inatoaga watu wemye taswira za maendeleo makubwa makubwa. Mm mpaka sass elf 10 peke yangu naimaliza kwa siku lakin mbagala hapa kuna mtu ana familia ina watoto wawili anaacha elf 6 na alirudi anakuta kaekewa chakula anakula anashiba.

Keep money, invest hata kwa udogo. Laki 6 uswahili ni mtaji mkubwa tu.. unaweka banda la kuni ah mkaa unauza na unalisha familia na kulipa kodi mana elfu 7 kwa siku watu wanaishi miaka nenda rudi
 
Home sweet home ,,,fursa zinaanzia nyumbani mkuu
Elimu itamlimit kunyumbulika.. aliosoma nao wqtamdhihaki. Ataenda kuwa mfano mbaya huko na ataonyeshewa kidole mana watu ukisoma wanataka kukuona una mafanikio na hela tu... umezipata wapi wao hawatak kujua.. ataenda kubeti tu.

Ukisoma ukarudi nyumban umeachagua kwend kutumika kama mfano mbaya huko unless uwe na kaz ya kueleweka
 
Back
Top Bottom