Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Muda huu sio wa kuthamin cha kwake kutoka darasani. Aokoe jahazi kwanza ili asiwe tegemezi.. muda wa kukir kwamba analipwa kidogo haujafika mana huko kazinj atapimwa hata kwa communication skills, interaction na ujinga ujinga ambao haukuwepo kabisa darasan kama sehem ya elimu kwaa professiona yakeYes anabidi kutazama momentum na sio speed
Ila kitendo chakutoka chuo na kutaka 300k means jamaa anajichukulia powah Sana at least angesema 1M
Unajua most of the time you become what. You think.
Asjichukilie powah ni bora aseme ntafanya kazi Ila asjiwekee viwango vidogo.
Unajua mfumo unazalisha watalam wengi alaf hauna pa kuwapeleka. So automatic unawawakom-veti kuwa wafanyakaz wa bei rahisi mana akikataa yeye wenzie wanafanya yeye anakaa mtaani. Hii ndo shida ya survival of the fittest