Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Sasa hivi unaomba kujitolea bure, yaani hata msalani utaenda kile cha manispaa, Mnatudharaugi sana mkituona mitaani, karibuni kwenye real world.Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati
Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani
Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725
Wakati unatamba na joho lako ulijiona nani?Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati
Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani
Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725
Familia zinatofautiana lamomy. Mm familia yangu hata nilipo sahiv haijui. Mana kuna familia ukileta mipango ya maendeleo huioni na pengine ukafeli kabisa.Pole sana kuna dogo kasomea mafuta na gesi kazi hakuna, tumemchangia mtaji ss hivi anapambana kuuza simu..!
Ongea na familia ikuwezeshe
Pole sana hizo familia za ajabu mnawaza kurudishana nyuma na sio kusonga mbele.!!Familia zinatofautiana lamomy. Mm familia yangu hata nilipo sahiv haijui. Mana kuna familia ukileta mipango ya maendeleo huioni na pengine ukafeli kabisa.
Wanandug zang waliopat kazi serikalin hawajawahi kusema, unasikia tu kapata kazi kaenda kuripoti. Tangaza unachotaka kufanya uone. "Ukifanikisha nite jina lolote niko pale"
Kuna familia hata ukitaka kwenda mjini huagi, jambo la kimaendeleo halitangazwi hata kununua friji tu. Yani huko ukitema nchale, ukimeza nchale.. ukikaa vibaya unakula chuma ulale na njaa.. hizi zinaitwq Advanced marginalised communities
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati
Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani
Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725
Mm naona cha kwanza jamaa kama karudi kwao baada ya kumaliza chuo, ahame mazingira hayo ili status yake huko anapoenda isilimit utayari wake wa kufanya kazi za casual au kuwa machingaSafari njema ya msoto ,imarika ,chakalika ukiona mtaani hakuna dili ingia kwenye kilimo tu ndugu au wewe na kilimo hazipandi?
Mm mpaka muda huu kuna dil lishakaa level ila halisemwi kwa ndugu, kamwe! Ndugu anawaza ukifanikiwa yeye sura yake ataiweka wapi?. Ushawahi kuskia habari za watu wa kusini 😁Pole sana hizo familia za ajabu mnawaza kurudishana nyuma na sio kusonga mbele.!!
Mm naona cha kwanza jamaa kama karudi kwao baada ya kumaliza chuo, ahame mazingira hayo ili status yake huko anapoenda isilimit utayari wake wa kufanya kazi za casual au kuwa machinga
Hongera, sijawahi kusikia emu nipe habari zaoMm mpaka muda huu kuna dil lishakaa level ila halisemwi kwa ndugu, kamwe! Ndugu anawaza ukifanikiwa yeye sura yake ataiweka wapi?. Ushawahi kuskia habari za watu wa kusini 😁
Ajitoe, bosi anawez kumtriti kama anamsaidia tu. Wakati yeye mwenyew anaona kama ndo anamsaidia bosi wake kwa kusapoti operation za ofis kama cheap labour.For ma advice don't change your mindset.
Tayari sasa unaenda kuwa mtumwa wa kila kitu,unaenda kuwa mtu wa ndio kila sehemu ili upate chochote.
Sasa hama uko,usiwe mbali sana na fkra zako kuwa postive mindset then komaa whatever.
Pole Sana.... ndio maisha hayoSasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati
Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani
Napata makapi vinono navitamani
View attachment 3051725
Elimu itamlimit kunyumbulika.. aliosoma nao wqtamdhihaki. Ataenda kuwa mfano mbaya huko na ataonyeshewa kidole mana watu ukisoma wanataka kukuona una mafanikio na hela tu... umezipata wapi wao hawatak kujua.. ataenda kubeti tu.Home sweet home ,,,fursa zinaanzia nyumbani mkuu