Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

Muda huu sio wa kuthamin cha kwake kutoka darasani. Aokoe jahazi kwanza ili asiwe tegemezi.. muda wa kukir kwamba analipwa kidogo haujafika mana huko kazinj atapimwa hata kwa communication skills, interaction na ujinga ujinga ambao haukuwepo kabisa darasan kama sehem ya elimu kwaa professiona yake

Unajua mfumo unazalisha watalam wengi alaf hauna pa kuwapeleka. So automatic unawawakom-veti kuwa wafanyakaz wa bei rahisi mana akikataa yeye wenzie wanafanya yeye anakaa mtaani. Hii ndo shida ya survival of the fittest
 
Daqah
Ndio maana zinachelewa, ukoo mzima advanced ni mtu mwenye cheti cha ualimu serikalini
Itabidi tujifunze kwa jamatini
 
Unamtumia tena Jamaa CV anakufanyia hivi ???

Ukifika hatua hio nenda ujichange ununue hata mashine ya kutengeneza juice ya miwa uanze kuuza mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…