Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.

Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.

Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Screenshot_20230624-073450_Instagram.jpg
 
Nchi haindeshwi kwa mawazo ya MTU mmoja kutoka kichwani mwake-maana watu hufa na kuzeeka.weka misingi hiyo na mawazo hayo katika maandishi (sheria) yawe ni njia ya watu kufuata.
Magufuli haakuwa tofauti na Nyerere tamaa za madaraka ziliwalevya.
 
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.
Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.
Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Shetani mkubwa huyo ndo katuachia legacy ya kusanyiko la hovyo kabisa kule Dodoma.
Mungu alichome mara elfu huko liliko
 
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.

Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.

Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
View attachment 2666963
Tatizo la Magufuli, alijua atadumu miaka 10 na kuendelea, ndo maana akatuwekea bunge la ndiyo mzee.Mimi binafsi ninamlaumu sana.
 
Back
Top Bottom