Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Asante mangiPole
Ok.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Sina mkuu.nikiwa naye nitajibu ninaeKwani una mchumba au huna??
Hugs luv 🫂 🤗Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Am sorrySina mkuu.nikiwa naye nitajibu ninae
Lakini si suala langu binafsi?
Hata wazee mkuu?hapanaUnampa makavu live, unamwambia hilo sio swali la kumuuliza binadamu mwenzio
Ni mambo binafsi
😄😄Mficha uchi hazai, wahenga walisema
Suala binafsi wapi wewe acha fiksi.Sina mkuu.nikiwa naye nitajibu ninae
Lakini si suala langu binafsi?
Najibu sina Kwa sasaSasa Sister uwa unawajibuje?
Ni ngumu kupunguza watu ndivyo walivyo , kuna watu hata hauwajui kabisa ila wana hadithi zako iwe ni za kweli au za uongoHugs luv 🫂 🤗
Ila watanzania kuna namna inabidi tupunguze kufuatilia maisha binafsi ya wengine na kuuliza maswali yasiyotuhusu!
Nipo hapaSijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Ni kweli labda mtu wa kukutana nae tuHugs luv 🫂 🤗
Ila watanzania kuna namna inabidi tupunguze kufuatilia maisha binafsi ya wengine na kuuliza maswali yasiyotuhusu!
Noma sana.Ni ngumu kupunguza watu ndivyo walivyo , kuna watu hata hauwajui kabisa ila wana hadithi zako iwe ni za kweli au za uongo