Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Kweli Mkuu !Na hii mtandao ya kijamii - hasa hiyo ya video - imetibua utulivu wa vijana.
Huko mtandaoni inaonekana watu wote wamefanikiwa, ili hali uhalisia unagoma
Hii mitandao sio ya kuamini hata kidogo, fikiria mtu mtandaoni anaandika kwa hekima na busara au anapost mambo yenye maadili na imani sasa mtafute physically anza kuwasiliana naye aisee utajua uhalisia wake, yaani unajikuta unaona bora hata kina Habiba na Zai wa mtaani kuliko huyu wa mitandaoni 😂