Wewe ni limbukeni huna ustaarabu, huna social graces, ndiyo maana unatumia neno "muongo" kirahisirahisi tu. Tukilichambua hutaweza kulitetea.
But I know you will never get that through your head.
Kwa hiyo unataka kusema wewe unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe?
Mimi Tanzania nilikuwa naonekana, najulikana. Nimekimbia kujulikana.
Nimerudi likizo nimefika Samaki Samaki Mlimani City, kuna mtu kaniona anapiga kelele "Mnamjuaa huyuu, mnamjua huyuu?" sehemu yote wananiangalia mimi.
Sasa kuna watu hatutaki maisha hayo ya umaarufu, hayo ndiyo maisha tuliyoyakimbia Tanzania tuje Marekani ambako hatujulikani.
Usikariri tu kwamba kwa kuwa wewe unapenda umaarufu, na watu wa kijijini kwenu wote malimbukeni mnapenda umaarufu, kila mtu yuko hivyo hivyo ana ulimbukeni kama nyie.
Kuna watu wengine tunapenda peace of mind, privacy, hatupendi umaarufu.
Pia wewe una tabia za kishenzi za kupenda wengine wawe na matatizo.
Wajerumani wanaita schadenfreude.
Unalazimisha niwe napamiss Bongo, kwa sababu nakaa JF. Kwanza ku miss Bongo maana yake nini? Bongo ina vitu vingi, kwani siwezi kupenda mazungumzo fulani ya Bongo lakini nikachukia mengine?
Siwezi ku miss mambo fulani yaliyokuwapo Bongo zamani ambayo leo hata nikirudi siwezi kuyakuta?
Why are you this dumb and simplistic and vreating all sorts of false dichotomies?
Unasema ulikaa diaspora, una hasira kwa sababu maisha ya nje yalikushinda ukarudi Bongo unashangaa wengine tumewezaje kuendelea kuishi nje? Is this your problem?
Wewe una fikra za kichawi kuombea watu matatizo.
Na ni watu kama wewe wanaonifanya nishindwe kukaa wa Wabongo.
Kwa sabau hapa hatujakutana tu unataka kunifanyia uchawi, ukikutana nami si ndiyo utaniwekea sumu kabisa kwenye kinywaji nife?