Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #81
AminaPole rafiki,Mungu atajalia upate wako
AminaPole rafiki,Mungu atajalia upate wako
Pole kwa unayopitia ndio ukubwa huoNingetaka bwana ningeweka tangazo.sishindwi
Kuna namna ukiishi tu , watu wanakosa ujasiri wa kukuliza chochote, bila hata kutumia nguvu kubwaBwashee mm hata mtu kuniambia kule ninunulie kitochi hathubutu ingawa mm sio mchoyo dizaini tuu nimejiweka mazoea mengi sitaki
Tatizo wakiwa kwenye usichana wao wanachagua sana na wengine wanakuwa na ndoto kama wanaume kuja kustuka jua limezama kwanini asiolewe na kitoto cha afu mbili kinachovaa gucci na tukaptulaMtu anaelezea hisia zake unasema tangazo 🤣🤣🤣 Ufalme wa mbinguni utausikia kwenye redio tu Mkuu
Hili jambo ni mtambuka Mkuu, linatesa sana Wasichana wengi, kuna binti fulani ni graduate wa UDSM tena degree ya Uchumi kaolewa na dogo darasa la saba tu, Mlinzi na bodaboda na yote hayo ni kwa sababu ya mashinikizo.
Binti baada ya kuolewa kapata kazi nzuri tu kwenye taasisi ya serikali na dogo alipata hela kwenye ishu zake kajenganyumba na kapanua biashara kwa kununua na bajaj mbili , Binti hayupo comfortable kabisa na yule dogo maana dogo hata Kiingereza cha kuombea maji hakipo
Ni kweli bruhKuna namna ukiishi tu , watu wanakosa ujasiri wa kukuliza chochote, bila hata kutumia nguvu kubwa
Mtu akitoa jibu mengine muachie mwenyeweTuna changamoto sana watanzania, mtu anakwambia sina, bado unamuuliza kwanini? Alafu ni mtoto wa kike, sio sawa. Minilichojifunza katika maisha ni kuepuka maswali yanayoumiza hisia
1. Una watoto wangapi sasa hivi?
2. Umeolewa? Bora hata kuuliza Umeshaoa kwasababu mwanaume ndiye anauepanga, ingawa nayo sio lazima
3. Unafanya kazi wapi?
Kwanza inasikitisha sana badala ya kusikitika mtu kapoteza maisha umeona jambo kubwa kabisa la kusikitisha hapa ni aibu ya kijijini kwao.Kaka usitete angalia demu wa ARUSHA kadanganya anauza duka kumbe anauza nyapu kafia gesti hio aibu kijijini kwao wataipeleka wapi?
Hatare sana 😆😆Hahahaaa usinifurahishe kijana😁
Punguza expectations, huyo unaemsubiri, hata yeye anakusubiri.., make the move wewe.., usimsubiri yeye..Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Wakitumika na nini nna nani?Acheni upimbi. Mwanamke over 30 upo upo tu unataka jamii isikushangae. Yaani mchumba huna, mme huna, mtoto huna.
Kama kuna shida za kiafya ita-make sense.
Otherwise endeleeni kujifariji na u-feminist huku mkitumika.
Kuna wale watu Baki ukiwaambia uko single wanakuuliza unaishije Sasa😆 binafsi kuna namna nimejingea kwenye jamii , mpaka mtu aniulize swali la kipuuzi atakua kajitoa ufahamu sana
Kwani mkuu hayo ni maamuzi yako binafisi au ni bado hauja mpata huyo mchumba?Labda mkuu
Jamii zetu zitaadapt kuheshimu hata maamuzi binafsi ya mtu
Kuna watu wanajikuta wanaingia mahali mradi tu ili kukwepa maswali kama hayo toka Kwa wazee wao na jamii zao
Sawa mkuuPunguza expectations, huyo unaemsubiri, hata yeye anakusubiri.., make the move wewe.., usimsubiri yeye..