Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?

Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.

Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Mambo yamebadirika sana 😢

Nashangaa kuna kipindi fulani nilikuwa kijijini kwa ajili ya likizo za mwisho wa mwaka, nilikuta wasichana kwa wavulana wameshaolewa na kuowa na familia za watoto wawili au watatu. Wakati nilichunga nao Mbuzi 🐐 utotoni 🤣🤣🤣

Halafu hawana hata stress kabisa, asubuhi Shambani kulima, wakirudi kwenye nyumba ya Slope wanapika chakula wanakula na wana enjoy life.

Kinachochangia kwa vijana wengi kushindwa kuoa au kuolewa mapema ni pamoja na kuwa na vipaumbele elimu kwanza, ajira, sehemu ya kuishi nzuri hata ya kupanga lakini wakati mwingine mambo huenda hovyo na hapo ndipo changamoto zinapoanza kumbe kipaumbele cha kwanza ingekuwa kuolewa au kuoa Yawezekana isingekuwa shida kwenye hili suala la ndoa.

Ukiachana na masuala ya Kiafya naambo mengine tatizo kubwa ni vipaumbele nilivyoviandika hapo juu vikifeli kila kitu kinapoteza muelekeo na tunaoishi mjini mtindo wa maisha unaharibu sana muonekano wa miili yetu
 
Halafu hawana hata stress kabisa, asubuhi Shambani kulima, wakirudi kwenye nyumba ya Slope wanapika chakula wanakula na wana enjoy life.
Uko sahihi kaka.
unajua kuna wakati nilifika nikayatazama maisha kama ulivyofanya hapa.
niliishi kwa amani sanaaa na hata milango ikaanza kufunguka.
Being contented with ur circumstance. Kile ulichonacho, wale walio nao na pale ulipo kwa wakati huo, ukiyafurahia na kuyakubali hayo ukawa grateful hakyanani utaishi kwa furaha sana. Na katika hali hii huja baraka zingine.

Tatizo leo vijana wana very high expectations out of life. Yan wana matakwa makubwa mnooooo, na life haiku guarantee kila kitu kwa namna unayotaka wewe. Ndio maana kitu kidogo kisipokwenda vile unavyotaka, kinageuka kuwa bonge ya dissapointment na stress kubwaaa wakat kimsingi wala isingekua hivyo.
 
Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?

Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.

Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Watu hawana adabu halafu hata hawajui kuwa hawana adabu.

Mimi kuna siku nilirudi nyumbani kutoka US, likizo. Ilikuwa likizo kazini lakini nyumbani kulikuwa na harusi.

Baba yangu akaniuliza "Tunaweza kuongelea suala la kuoa?".

Nikasema hatuwezi.

Na mada ikafa hapohapo.

Mzee alikuwa na adabu ya kujua kwamba hili si suala la kuongelea tu, ni suala ambalo kuongelea kwanza inabidi uombe ruhusa.

Na hiyo ruhusa uombe kwa kumaanisha, si kwa maigizo tu, ukikataliwa unakubali.

Sasa katika familia zetu wazazi, wakubwa, marafiki, jamaa wengi hawana adabu hiyo.

Wanakuona wewe kwa sababu mtoto wao, ndugu yao, rafiki yao, jamaa yao, wana haki ya kukuuliza, kukuingilia, kukupangia.

Bila hata ya kuomba ruhusa.
 
Nawasubiri wazee wafuatao
👉Yule mwanamke uliyezaa nae humrudishi ?

👉Kwann hujaoa mpaka sasa ?

👉Kwann unashauri watu watoke kwenye ndoa zao

👉Unaongeza lini mtoto

Majibu hayo yatawafanya walewe kabla hawajanywa....

cc Seran min -me
😆 binafsi kuna namna nimejijengea kwenye jamii , mpaka mtu aniulize swali la kipuuzi atakua kajitoa ufahamu sana
 
Hilo Sio Swali La kumuuliza MTU, Unless Uwe Unamtaka... Mimi Dada Kila siku Ananiambia "Umri Unaenda, Umri Unaendaa " Huwa Nakaa Namuangalia weeh, Hajui Mdogo wake Nisingekuwa na Tatizo La Usikivu Basi Huenda ningekuwa Mbali kiuchumi, Maana Nakosa Fursa Nyingiii Sana....

Kuna Siku Aliropoka Tenaa Nikamwambia "Nipe Mtaji" Hakunijibu Tena 😂
 
Back
Top Bottom