Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Unamchumba?Daaaah, pole sana.
Unamchumba?Daaaah, pole sana.
Mchumba??Unamchumba?
Huwezi kuvunga kitu ambacho kina kuumiza mpaka kufikia kuanzisha uzi,kusema "Siku inaisha" ni kama kujifariji tu ila tatizo lipo palepale,Sio sawa
Mambo mengine unavunga tu unabadili mada siku inaisha
Hata mm nashangaa watu wanavyoulizwa hayo maswali😆 binafsi kuna namna nimejingea kwenye jamii , mpaka mtu aniulize swali la kipuuzi atakua kajitoa ufahamu sana
Kusema kweli hawa Wakubwa wetu huwa wanakosea sana.Watu hawana adabu halafu hata hawajui kuwa hawana adabu.
Mimi kuna siku nilirudi nyumbani kutoka US, likizo. Ilikuwa likizo kazini lakini nyumbani kulikuwa na harusi.
Baba yangu akaniuliza "Tunaweza kuongelea suala la kuoa?".
Nikasema hatuwezi.
Na mada ikafa hapohapo.
Mzee alikuwa na adabu ya kujua kwamba hili si suala la kuongelea tu, ni suala ambalo kuongelea kwanza inabidi uombe ruhusa.
Na hiyo ruhusa uombe kwa kumaanisha, si kwa maigizo tu, ukikataliwa unakubali.
Sasa katika familia zetu wazazi, wakubwa, marafiki, jamaa wengi hawana adabu hiyo.
Wanakuona wewe kwa sababu mtoto wao, ndugu yao, rafiki yao, jamaa yao, wana haki ya kukuuliza, kukuingilia, kukupangia.
Bila hata ya kuomba ruhusa.
NdiyoMchumba??
"Tunaweza kuongelea swala la kuoa?"Kusema kweli hawa Wakubwa wetu huwa wanakosea sana.
Kuna Baba mdogo ndio lilikuwa swali lake hilo kila akinipigia simu. 😃
Kuna siku nikamwambia MZEE HILI SUALA NINGEOMBA USIRUDIE TENA KUNIULIZA.
Tuna changamoto sana watanzania, mtu anakwambia sina, bado unamuuliza kwanini? Alafu ni mtoto wa kike, sio sawa. Minilichojifunza katika maisha ni kuepuka maswali yanayoumiza hisiaNajibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
NdiyoNdiyo
ACHANA NALO HILI SUALA MZEE , MWANAO ALIYEOA KILA MARA HUWA ANANIPIGIA KUOMBA SH 5000 AMNUNULIE MATAULO MKE WAKE. MKANYE MWANAO AACHE KUNIOMBA HELA YA MATAULO YA MKE WAKE"Tunaweza kuongelea swala la kuoa?"
Mimi ndio yule Baba mdogo kama ulikua hujaijua hii ID.
HUWEZI EPUKA HIZO QUESTION KWA SABABU PRIMITIVE PEOPLES WAPO TU SIKU ZOTE.Hugs luv 🫂 🤗
Ila watanzania kuna namna inabidi tupunguze kufuatilia maisha binafsi ya wengine na kuuliza maswali yasiyotuhusu!
Kabisa yaniKupangiana maisha.
Yeah ukijenga ukuta na mpaka sio rahisi wakuulize wanaishia kusema tu ana dharauHata mm nashangaa watu wanavyoulizwa hayo maswali
Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Yeah ukijenga ukuta na mpaka sio rahisi wakuulize wanaishia kusema tu ana dharau
Labda mkuuHUWEZI EPUKA HIZO QUESTION KWA SABABU PRIMITIVE PEOPLES WAPO TU SIKU ZOTE.
SWALI KAMA HILO LITAPOTEA MIAKA 60 IJAYO