Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #121
Kweli mkuuPole sana, changamoto ni nyingi sana katika maisha.
Kweli mkuuPole sana, changamoto ni nyingi sana katika maisha.
KweliZipo jamii nyingine hazina mambo ya kufuatiliana. Kwa hiyo sio kwamba watu ndio wapo hivyo, bali Watanzania ndio wapo hivyo kwa kiasi kikubwa. Bongo kufuatilia maisha ya watu kupo very normalized. Labda uhame nchi
Huu ndio ukweliNdio ukweli
Mtu anakwambia si angalau uzae umri unaenda,lakini mwisho wa siku malezi ni juu yako na Maisha ni yako hata ukibaki single parent.
Watu wafanye mambo Kwa mipango na utayari na sio presha toka Kwa jamii
Utamjibu shit moja kali sana sio😁Hadi mtu anakuuliza hayo maswali utaolewa lini na utazaa lini kakuonaje yaani😁
Siku mtu ajimix aniulize hivi😁😁😁,
Nitaolewa.,,,hiyo kuniuliza ni lini,hata mie sijui ni lini.Utaolewa lini mawadrat?
Hapo katoka kununulia chips tu😎Utazaa lini?
Njoo nikupe mimba unizalie
🤣
Ni kweli mkuuBora ukae bila mtoto lakini sio kuzaa bila mpango kuwafrahisha waja.
Kilichopo ni kumuomba Mungu, wakati wa Mungu ni wakati sahihi, usiweke mambo ya wanadamu kifuani mwako yatakuumiza sana.Kweli mkuu
Ukiwa mzoefu unawajua tuSura zao zinaashiriaje kutotongozwa miaka mingi🙄
Je, ni kuna Mapito yoyote uliyo wahi kupitia ambayo yanakufanya uwe na kigugumizi? Na ni changamoto ipi?Najibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Huwezi jua ndio baba mwema😄Hapo katoka kununulia chips tu😎
Waambie nitazaa,hiyo lini wabaki nayo wao.Utazaa lini?
Njoo nikupe mimba unizalie
🤣
Ndio unaokutana nao mostly au?Ukiwa mzoefu unawajua tu
Watu wana muda na maisha ya watu as if ukizaa anakuletea diapers au maziwa ya mtoto yeye! Yakikushinda tena wa kwanza kukushangaa atakuwa yeye😅Sana,maana sio hata huyo alinibeba miezi Tisa tumboni,kanileta Hadi huu uzee nakula kwake nalala kwake na hajawahi niuliza Hilo swali hivi
Kujikubali kupo.je wakukukubali yupo?Je, ni kuna Mapito yoyote uliyo wahi kupitia ambayo yanakufanya uwe na kigugumizi? Na ni changamoto ipi?
Binafsi japo wanasema mapenzi hayalazimishwi, ila usipo jikubali wewe kama wewe, usitegemee kupata mtu sahihi katika maisha yako.
Siwezi gamble na utumbo wangu kihivyo😅Huwezi jua ndio baba mwema😄
Kwanza kabisa hizo dini zenu unafiki mtupu.Kaka unaijua kondoa? Kwao na marehemu, mkuu kondoa ni watu wa Imani ya kiislamu sana kule dini ipo tena kwa ukubwa, alafu kaka swala la kufa Kila nafasi itaonja mauti fikiria wazazi wake watabaki na Hali Gani, dini yetu ya kiislamu itatuamuru tuombe mwishowema sababu kifo hakizuiwi ila unakufaje hapo ndio tuna shauriwa kuomba mwisho mwema mana siku ya mwisho Kila mtu atafufuliwa alivyo kufa, we unaongelea kwa mtazamo wako mi naongelea uhalisia ulivo sababu na yajua mazongira ya kule mkuu acha tu usirahisishe watu wanajiua kwa kusemwa tu we unachukulia poa, unadhani fujo za oktoba 29 watu kutaka kuwadhuru watoto wa viongozi unadhani chanzo ni nini si maneno tu waliyosemwa watu wakaamini unapuuziaje maneno mkuu, athari zake si ndio hizo kuleta vifo.