MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Unazaa janaume linakubwagia mtoto,tunateseka nae,unaanza kuwachukia wanaume wote kuwaita mbwa.Ni kweli mkuu
Fanya mambo Kwa utayari wako
Unazaa janaume linakubwagia mtoto,tunateseka nae,unaanza kuwachukia wanaume wote kuwaita mbwa.Ni kweli mkuu
Fanya mambo Kwa utayari wako
Siulizwagi aseeeh nisije nikamtusi mtu buree.....Wewe pia huulizwi?
Mungu atakusaidia utapata au mejiwrkea standard ngumu na za juu kiasi wanaume wanakuogopa?Sina.
mtu mwenye maamuzi ya hivi
Labda shoga au msagaji.
Na maamuzi Yao pia nayaheshimu
Inategemea, na jinsi unavyo jiwekea kwakeKujikubali kupo.je wakukukubali yupo?
Tena,tunateseka wao furaha.Watu wana muda na maisha ya watu as if ukizaa anakuletea diapers au maziwa ya mtoto yeye! Yakikushinda tena wa kwanza kukushangaa atakuwa yeye😅
Hiyo siku wakikuuliza niite😎🔫Siulizwagi aseeeh nisije nikamtusi mtu buree.....
Siipendi hili swali😁Mungu atakusaidia utapata au mejiwrkea standard ngumu na za juu kiasi wanaume wanakuogopa?
Mm tena ni za kichwa tuu 😂Hiyo siku wakikuuliza niite😎🔫
Mzazi wako anakuogopa kwa vile unaishi US?Watu hawana adabu halafu hata hawajui kuwa hawana adabu.
Mimi kuna siku nilirudi nyumbani kutoka US, likizo. Ilikuwa likizo kazini lakini nyumbani kulikuwa na harusi.
Baba yangu akaniuliza "Tunaweza kuongelea suala la kuoa?".
Nikasema hatuwezi.
Na mada ikafa hapohapo.
Mzee alikuwa na adabu ya kujua kwamba hili si suala la kuongelea tu, ni suala ambalo kuongelea kwanza inabidi uombe ruhusa.
Na hiyo ruhusa uombe kwa kumaanisha, si kwa maigizo tu, ukikataliwa unakubali.
Sasa katika familia zetu wazazi, wakubwa, marafiki, jamaa wengi hawana adabu hiyo.
Wanakuona wewe kwa sababu mtoto wao, ndugu yao, rafiki yao, jamaa yao, wana haki ya kukuuliza, kukuingilia, kukupangia.
Bila hata ya kuomba ruhusa.
Sawa kaka we huamini dini yangu mi najiamini ndio mana nimesema hiviKwanza kabisa hizo dini zenu unafiki mtupu.
Kama kwao kuna Uislamu hivyo kusingekuwa na malaya hivyo.
Nimekuuliza kosa la mtu mmoja linakipaje kijiji aibu, hujajibu.
Unasema kila nafsi itaonja mauti, kwa hiyo mimi nikija kukuua wewe sasa hivi ni sawa tu, kwa sababu kila nafsi itaona mauti?
Mtazamo ni nini na uhalisia ni nini?
Nimekwambia hapa kuna matatizo ya kimfumo, si ya mtu mmoja tu, huo ni mtazamo au uhalisia?
Watu wakijiua kwa kusemwa tu ndiyo maana uake nini?
Maneno hata ya kijinga yanaweza kusababisha mtu ajiue, sasa hilo linaondoa ujinga? Tusiseme huu ujinga?
Binadamu tena wa kibongo ambao hawaelewagi wanachokitaka! Kwanza mtu mwenye utimamu ukaanze kumfatilia mtu aoe sijui aolewe duhh!🤦🏽♀️Tena,tunateseka wao furaha.
Unge print hii afu weka kwenye bahasha afu wakikuuliza unawapatia sisi hatuhusiki madam unatuonea.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Sawa mkuuKilichopo ni kumuomba Mungu, wakati wa Mungu ni wakati sahihi, usiweke mambo ya wanadamu kifuani mwako yatakuumiza sana.
Upo sahihi sanaa kwenye hili.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Heri mara mia akuulize hivyo mtoto Ambae hajui Dunia ikoje.changamoto za kupata wenza nk.Utamjibu shit moja kali sana sio😁