Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #181
😄😄Wape homework waambie nitafutueni ntamkubali tuu
😄😄Wape homework waambie nitafutueni ntamkubali tuu
Haaa ndo zenu nyinyi huwa kipindi mpo kwenye kilele cha uzuri wenu huwa mnafuatwa na wanaume wa maana mnawakataa tena kwa nyodo kisa wamekaa kishamba sio mabishoo,hawana hela lakini umri ukisha enda hao ulio kula nao ujana wote wamesha kukinai hawakuitaji ndo unaanza kuwatafuta hao wavaa mashati ya vitenge uliowakataa huko nyuma waje wakuoe 😀😀😀😀😀😃ila hizi Dunia.Siipendi hili swali😁
😄😄😄wambie Yesu ndo Bwanako, unakwama wapi
Huku hivi au huko vile si muhimu.Sawa mkuu nimekuelewa ila huku ni tofauti na huko ulipo huku mambo Madogo tu yanavuruga familia, huko ata vichupi mtu anavaa, bila shida huku ni hapana huo ndio utofauti nilitaka uujue
HapanaMungu atakusaidia utapata au mejiwrkea standard ngumu na za juu kiasi wanaume wanakuogopa?
Kudandia waume za watu🤔🤔Upo sahihi sanaa kwenye hili.
Shida ni pale mtu wa namna hiyo ambaye hana mchumba lakini kutwa kucha kudandia waume za watu,hapo kutakua na walakuni,lakini kama "issue" ni rejection hapo hamna shida kabisa
Asante mkuuPole sana kwa namna unavyojisikia kiukweli sio jambo jema sana kumuuliza mtu mambo binafsi ila kibongobongo ni kama vile wimbo.
Binafsi naulizwa sana maswali kama haya ila huwa nawajibu kitaalamu tu na maisha yanasonga. Kundi langu la umri lipo hapa 30-34.
Mkuu usivunjike moyo tupo wengi, hata mimi sina mpenzi na wala siwazi na life linasonga kikubwa visenti vya kuzugia viwepo mfukoni tu.🫶🏼
Pamoja sana.Asante mkuu
Mtu kufa anajiuza unasema ni mambo Madogo? Dahh huuuuih nimeshusha pumzi mkuu, ndio mana nimesema hatuwezi elewana mana huamini napo amini, saudia juzi wamenyonga watu we unasema mambo madogoHuku hivi au huko vile si muhimu.
Muhimu ni ukweli.
Kama mambo madogo tu yanavuruga familia, hiyo ni familia kweli au ndiyo ule unafiki niliousema?
Maana inawezekana tuna unafiki mwingi wa kujifanya tuna dini sana, tuna familia sana, halafu ukichunguza hatufuati dini, hatuna upendo wa kifamilia kihivyo.
Tunafanya virtue signaling kimkakati tu.
Unafahamu virtue signaling ni nini?
Hauwez elewa labda uwe wa kiumeni uonje mbususu kadhaa😂Hii zana ya utamu na kutumika sana sijawahi ielewa🙄
Aah mkuu sio wote wanakuwaga warembo bana, wengine wakikuwa wakajipiga soap soap ndio vijana wanajaa! Lakini umepauka na vaselini lako mweusi tii huoni mtu serious zaidi ya wafunua sketi na usipowagundua unaonjwa sana!Haaa ndo zenu nyinyi huwa kipindi mpo kwenye kilele cha uzuri wenu huwa mnafuatwa na wanaume wa maana mnawakataa tena kwa nyodo kisa wamekaa kishamba sio mabishoo,hawana hela lakini umri ukisha enda hao ulio kula nao ujana wote wamesha kukinai hawakuitaji ndo unaanza kuwatafuta hao wavaa mashati ya vitenge uliowakataa huko nyuma waje wakuoe 😀😀😀😀😀😃ila hizi Dunia.
dah pole sana! Lakini mkuu vitu vingine mnalalamika tu bure kuna wengine wanaongea hivi lakini unakuta alikuwa wa kusoma, sasa mkishaanza kudandiana masomoni kwa lengo la kuoana hamjajua hatma zenu si ndio chanzo cha kulaumiana na masingo maza kuongezeka mtaani? Halafu wnegi wenu mkivumiliwa kwenye shida mnakuwaga na dharau kibao mkijipata mnaanza kutafuta mnaoendana nao! Tunaijua hii.. mkipauka mnataka mwanamke fulani, mkishika vihela sasa🙌🏾Mm yalisha nikuta mm Kuna demu nilimfukuzia zaidi ya mwaka na nusu tena lengo likiwa ni kumuoa kabisa daah demu Kila nikajaribu anachoma ,sasa alipo ona usumbufu umezidi akaniita sehemu tukutane aisee nilijuta kwenda, demu alinitolea shombo jamani daah nilirudi geto
macho yote yamejaa ukungu sioni vizuri ilinichukua zaidi ya mwaka Yale maneno kufutika kwenye kichwa changu maana yalikuwa ni maneno yaliyo jaa dharau,kejeli,na Kila suna ya matusi.
Baadae tukapotezana na sijui aliendaga wapi mwaka Jana nashangaa namba ngeni kupokea anajitambulisha akiomba tukutane, kwenda kukutana anaanza kuniingizia habari za mapenzi wakati mm nimesha jiolea na mtoto nimesha zaa.
Nilicho mwambia ni kuanzia sasa sihitaji mazoea na ww mm nimeoa lakini mpaka sasa ananisumbua sasa sijui anataka nimuoe mke wa pili?
Ukizionja zinakuwaje kwani?Hauwez elewa labda uwe wa kiumeni uonje mbususu kadhaa😂
Basi poa mungu atakuletea wakati wake ukifika,ila kama unatabia ya kujitenga tenga acha anza kwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama wengine ndo huwa wanapatia wachumba na waume zao.Hapana
Sukari sugar sukari am just singingUkizionja zinakuwaje kwani?
Nashangaa tu, Sister Abigail namna wazee wa hovyo wanavyo mkera hapo mtaani 😅Unafurahia nini babe😁
😄😄 NipisheHii siridi ungenitaarifu kwanza, kabla ya kuibandika hapa jukwaani.
Pengine nisinge kuruhusu UI post kabisa 😅😅.
Kumbe kuna zenye chumvi na sukari sio bro😁Sukari sugar sukari am just singing
Wapi nimesema mtu kufa anajiuza ni mambo madogo? Weka hapa nukuu hiyo.Mtu kufa anajiuza unasema ni mambo Madogo? Dahh huuuuih nimeshusha pumzi mkuu, ndio mana nimesema hatuwezi elewana mana huamini napo amini, saudia juzi wamenyonga watu we unasema mambo madogo
Ungemshauri nini ingekuwa wewe!Nashangaa tu, Sister Abigail namna wazee wa hovyo wanavyo mkera hapo mtaani 😅