Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Are you single and happy?Najibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Are you single and happy?Najibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Mzazi wako anakuogopa kwa vile unaishi US?
Nimekuelewa mkiuUsikimbilie kuolewa kwasababu watu watakuonaje au jamii inatakuhukumu, ndoa sio Sheria Fanya kazi kuwa bize tafuta Pesa. Mume wako wakwanza anaweza kuwa ni kileunachofanya kukupa ridhiki
Kila mtu afuate maisha yake. Jamii this, jamii that. Upuuzi mtupuAcheni upimbi. Mwanamke over 30 upo upo tu unataka jamii isikushangae. Yaani mchumba huna, mme huna, mtoto huna.
Kama kuna shida za kiafya ita-make sense.
Otherwise endeleeni kujifariji na u-feminist huku mkitumika.
Single and happy but sometimes najisikia kuwa lonelyAre you single and happy?
Siku hizi sikuchukulii serious unajua🤣😄😄
Kuamini si hoja, kwa sababu hata uongo mtu akiamua kuuamini anauamini tu.Sawa kaka we huamini dini yangu mi najiamini ndio mana nimesema hivi
Mnaanzaga hivihivi, mwishowe mnawapelemba vijana wa watu tu 😂😂😂Single and happy but sometimes najisikia kuwa lonely
Hii siridi ungenitaarifu kwanza, kabla ya kuibandika hapa jukwaani.Siku hizi sikuchukulii serious unajua🤣😄😄
Hata nikiiweka hoja hamna umuhimu sababu umesha sema dini zetu zinatupotosha na ni unafikiKuamini si hoja, kwa sababu hata uongo mtu akiamua kuuamini anauamini tu.
Weka hoja, usiweke habari ya kuamini.
Kikubwa furaha ya moyo. Loneliness, jaribu kufuga pet, paka au mbwa wa kishua.Single and happy but sometimes najisikia kuwa lonely
Kwanza kabisa, hata unajua hoja ni nini?Hata nikiiweka hoja hamna umuhimu sababu umesha sema dini zetu zinatupotosha na ni unafiki
Ukweli usiopingika,sijui wanawaza Nini.Tena ni mtu mzima anayeyaelewa Maisha ya Sasa." Si uzae umri unaenda" utafikiri huo umri ndo utalipa ada ya mtoto shule au bills za hospital kama mtoto akiumwa.
Sawa mkuuKikubwa furaha ya moyo. Loneliness, jaribu kufuga pet, paka au mbwa wa kishua.
Sawa mkuu nimekuelewa ila huku ni tofauti na huko ulipo huku mambo Madogo tu yanavuruga familia, huko ata vichupi mtu anavaa, bila shida huku ni hapana huo ndio utofauti nilitaka uujueKwanza kabisa, hata unajua hoja ni nini?
Maana naona unachanganya imani na hoja.
Unaelewa kuwa imani inaweza isiwe na hoja?
Yani jambo haliwi na hoja kwa sababu wewe unaliamini tu, unaweza kuamini ujinga usio na hoja.
Unaelewa hilo?
Hapana ila ni kama fantasy nikiamua nimpate mmoja namtongoza after all ni watam kwa maana hawajatumika sanaNdio unaokutana nao mostly au?
Kujibu sijampata wa kufanana nami unashindwajeNajibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Na kweli, ila mm ndio sijawahi kujali kwakweli!😁Heri mara mia akuulize hivyo mtoto Ambae hajui Dunia ikoje.changamoto za kupata wenza nk.
Lakini mtu mzima?
Labda mzazi wako sawa...ila haya mambo ni magumu kwakweli
Unafurahia nini babe😁
Hii zana ya utamu na kutumika sana sijawahi ielewa🙄Hapana ila ni kama fantasy nikiamua nimpate mmoja namtongoza after all ni watam kwa maana hawajatumika sana