Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ila ndugu zako siyo wastaarabu.Amina.na iwe hivyo
Mimi sikuwahi ulizwa hilo swali hata siku Moja.

Bora umeamua kuwa muwazi na nakuhakikishia kuwa hali hii si kwamba mnapitia nyinyi tu wanawake bali mpaka wanaume. Wengi tupo in early 40's tuna watoto mmoja wawili kanini hatupo ndani ya ndoa. So usijari somebody, the right one is somewhere waiting for the right time, for the right moment for you. Tupo wala usijariSijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.
Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.
Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Alooh! Ndiomaana tamaa ya kuonjana haiishi 😅Acha u Lofa hata mchele mmoja Wali unatoka tafauti alaaah
Ndo utajua zipojeUkizionja zinakuwaje kwani?
Nmekumiss piaa babe🥰Yeah babe, nimekumis 😍
😪😪😪😪😪😪😪😪Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.
Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.
Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Halafu tukaendelea poa tu.😂😂😂😂😂😂😂
Let me give you a hug sister 🫂.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Asante mkuuBora umeamua kuwa muwazi na nakuhakikishia kuwa hali hii si kwamba mnapitia nyinyi tu wanawake bali mpaka wanaume. Wengi tupo in early 40's tuna watoto mmoja wawili kanini hatupo ndani ya ndoa. So usijari somebody, the right one is somewhere waiting for the right time, for the right moment for you. Tupo wala usijari
Ni Mzee dear.Ila ndugu zako siyo wastaarabu.
Mimi sikuwahi ulizwa hilo swali hata siku Moja.
Mke ndo huyu ushindwe wewe tuSuala binafsi wapi wewe acha fiksi.
HakikaKuzaliwa - Kuoa/Kuolewa - Kuzaa/Kuzalisha - Kufa
Kutoka nje ya haka kamfumo uwe na roho ngumu.
Na Hizo activity za middle zinaumiza wengi na Jamii inazichukulia kama lazima.
Wengine wana changamoto za kiafya.
Wengine tofauti za Kimtazamo na mengineyo.
Zinazofanya wasipite hako ka mchakato.
Mwingine anaolewa mara kapigwa shaba, mara mwingine kachomwa na gunia la mkaa. Mwingine anakuwa na furaha. Mwingine anapojifungua ndio anaondoka hivyo.
Mambo ni mengi.............
Kumbe una baby wako humu?Yeah babe, nimekumis 😍
SawaKila kitu kinaenda kwa PAIR. mwanaume na mwanamke.
Mwanamke na mwanaume.
pambana dada uolewe au uwe na mtu wa uhakika punguza kuchagua chagua sanaa wanaume wenye wa pesa,magari,six packs na maringo acha.
Duniani tunapita tuu ila hakikisha una mwenza wa kukupa amani, furaha na upendo wa kweli.
Wapo ila mna machaguzi mengi sana wanawake
Wewe bwana🤣Mke ndo huyu ushindwe wewe tu
Haja wenzako wanao bado wewe unachelewa chelewa😊Kumbe una baby wako humu?