Ni compensation factor ujue! Kuishi nchi isiyo yako, shida tupuAnapenda kujikweza na anadhani yeye ana thamani kuzidi wengine

Hahahaha kuna watu humu jf wanadhani wao ndo wanasay to the extent of fooling othersUnaongea uongo mtupu. Kwanza mtu kama GSM au hata Bakhresa akitinga US, Unajua ni mtu wa kawaida sana. Hata Samia akiwa US ni sawa na kidukilo tu.
Kila mtu hupenda kuishi pahala ambapo Angalau anaonekana. Ndiyo maana kutwa kucha upo nasi JF. Kwa kijana ambaye alizaliwa TZ na kubalehe akiwa TZ, lazima atamiss maisha ya Tz. Ndiyo maana wanaitwa wanadiaspora etc! Ili Angalau waonje maisha ya kitz.
Wenzako yalitushinda na tupo na umaskini wetu (Bongo kWa Mbongo ni muhimu). Vichelema tulivyototoa huko, Huwezi mkuta anahangaika na JF maana anajiona ni kama Raia wa huko.
Kataa ukubali, una miss Bongo na huku kujimwambafai ni kujiliwaza tu. Pambana na hali yako. Siku yakikushinda, tutakuona unarudi na makoti ya baridi tu! Wadanganye ambao hawajajaribu kuishi katika nchi zao.
Alaf unakuwa unajua kabisa, wewe ni kama geresha tu... Kwanza furaha na amani unapata wapi?Ni compensation factor ujue! Kuishi nchi isiyo yako, shida tupu
Wewe ni limbukeni huna ustaarabu, huna social graces, ndiyo maana unatumia neno "muongo" kirahisirahisi tu. Tukilichambua hutaweza kulitetea.Unaongea uongo mtupu. Kwanza mtu kama GSM au hata Bakhresa akitinga US, Unajua ni mtu wa kawaida sana. Hata Samia akiwa US ni sawa na kidukilo tu.
Kila mtu hupenda kuishi pahala ambapo Angalau anaonekana. Ndiyo maana kutwa kucha upo nasi JF. Kwa kijana ambaye alizaliwa TZ na kubalehe akiwa TZ, lazima atamiss maisha ya Tz. Ndiyo maana wanaitwa wanadiaspora etc! Ili Angalau waonje maisha ya kitz.
Wenzako yalitushinda na tupo na umaskini wetu (Bongo kWa Mbongo ni muhimu). Vichelema tulivyototoa huko, Huwezi mkuta anahangaika na JF maana anajiona ni kama Raia wa huko.
Kataa ukubali, una miss Bongo na huku kujimwambafai ni kujiliwaza tu. Pambana na hali yako. Siku yakikushinda, tutakuona unarudi na makoti ya barisi tu! Wadanganye ambao hawajajaribu kuishi katika nchi zao.
Pole sana kwa kuzaliwa na inferiority complex. Una mawazo ya kichoko sana. IDs za kike na kiume zinakusaidia nini?Sawa baba yako mzazi angekuambia mwanangu fanya mpango uoe
Kwa mujibu wako ungemjibu baba nikupe
usinipotezee mda.
wewe ndio unazungumzia machoko unachowaza ndio unachokiiishi
Do youeven know what inferiority complex is? Haha
Am sorry
Itakuwa Dar mtaani kwenu ulipokulia wanakujua sana. Ungejaribu mitaa mingine au hata ungeenda Arusha, sidhani kama ungekuwa unajulikana pande zileWewe ni limbukeni huna ustaarabu, huna social graces, ndiyo maana unatumia neno "muongo" kirahisirahisi tu. Tukilichambua hutaweza kulitetea.
But I know you will never get that through your head.
Kwa hiyo unataka kusema wewe unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe?
Mimi Tanzania nilikuwa naonekana, najulikana. Nimekimbia kujulikana.
Nimerudi likizo nimefika Samaki Samaki Mlimani City, kuna mtu kaniona anapiga kelele "Mnamjuaa huyuu, mnamjua huyuu?" sehemu yote wananiangalia mimi.
Sasa kuna watu hatutaki maisha hayo ya umaarufu, hayo ndiyo maisha tuliyoyakimbia Tanzania tuje Marekani ambako hatujulikani.
Usikariri tu kwamba kwa kuwa wewe unapenda umaarufu, na watu wa kijijini kwenu wote malimbukeni mnapenda umaarufu, kila mtu yuko hivyo hivyo ana ulimbukeni kama nyie.
Kuna watu wengine tunapenda peace of mind, peivacy, hatupendi umaarufu.
Pia wewe una tabia za kishenzi za kupenda wengine wawe na matatizo.
Wajerumani wanaita schadenfreude.
Unalazimisha niwe napamiss Bongo, kwa sababu nakaa JF. Kwanza ku miss Bongo maana yake nini? Bongo ina vitu vingi, kwani siwezi kupenda mazungumzo fulani ya Bongo lakini nikachukia mengine?
Siwezi ku miss mambo fulani yaliyokuwapo Bongo zamani ambayo leo hata nikirudi siwezi kuyakuta?
Why are you this dumb and simplistic and vreating all sorts of false dichotomies?
Unasema ulikaa diaspora, una hasira kwa sababu maisha ya nje yalikushinda ukarudi Bongo unashangaa wengine tumewezaje kuendelea kuishi nje? Is this your problem?
Wewe una fikra za kichawi kuombea watu matatizo.
Na ni watu kama wewe wanaonifanya nishindwe kukaa wa Wabongo.
Kwa sabau hapa hatujakutana tu unataka kunifanyia uchawi, ukikutana nami si ndiyo utaniwekea sumu kabisa kwenye kinywaji nife?
Wakati naondoka kujulikana Tanzania ilibidi ujulikane Dar, Arusha ilikiwa mkoani tu.Itakuwa Dar mtaani kwenu ulipokulia wanakujua sana. Ungejaribu mitaa mingine au hata ungeenda Arusha, sidhani kama ungekuwa unajulikana pande zile
Imenigusa sana hii, kuwa na subira tu, ipo siku ambayo hukutarajia mambo yatakuwa sawaSingle and happy but sometimes najisikia kuwa lonely
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.
Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.
Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Pole.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Huu ujumbe wako umebeba hisia Kali, pole kwa maumivu unayopitia.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Najifunza kutoka kwa wakubwa wangu😎Usini spy mkuda weee
Shoga hiyo siku niite nikusaidie👌🏽Mi ntamvalia njuga halafu nimchambe.
Yu beraa..🤔A - Umeamkaje
B - Salama
A - Unaendeleaje
B - Vizuri
A - Nyumbani hawajambo
B - Hawajambo
A - Mkeo/mumeo
B - Wapo salama
A - Watoto
B - Wapo salama
A - Wazazi nyumbani
B - Wapo salama
A - Habari za tangu jana
B - Salama kabisa
A - Fresh kabisa
B - Fresh
A - Mungu ni mwema
B - Amen
A - Tumeamka salama hata sisi
B - Sawa
A - Watoto walikuwa wanaumwa ila nao wapo poa
B - Safi
A - Mm mwnyw mgongo ulikuwa unauma Ila nimeamka salama
B- N vyema
U too 😎Yu beraa..🤔