Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #281
UmepanicYou are hiding, in the cocoon of minding your own business. Na unajua kabisa sio kawaida
UmepanicYou are hiding, in the cocoon of minding your own business. Na unajua kabisa sio kawaida
Unafosi Kwa mtu unaempenda yeye hakupendi,?
Uko tayari yeye hayuko tayari
Wewe kapuku masikini huwezi kuelewa.Wewe Kiranga huwa una sifa za kijinga...
Dola million 3 unazijua wewe?
Acha kushika watu upuuzi.
Mbeba mabox
Kwa lipi? 😂Umepanic
Wewe mkulima wa bariadi uliyezamia USA uje uniambie baba yako anamiliki nyumba masaki?Wewe kapuku masikini huwezi kuelewa.
Hatuwezi kielewana kwa sababu tunatoka dunia tofauti.
Kaangalie bei za nyumba Oysterbay na Masaki.
Kama hata unajua ni wapi huko.
Wazazi tunatofautiana Sana, Mimi binti wa Kwanza ana 30, sijawahi kusikia lolote kuhusu mchumba na wala sijawahi kufikiri au kumuuliza kuhusu Hilo.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.
Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.
Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Kumbe? My friend utakufa vibaya sana. Achana na mtu asiye kutakaUnafosi Kwa mtu unaempenda yeye hakupendi,?
Uko tayari yeye hayuko tayari
Yeah I feel youHapana sichagui but Kuna mambo lazima uzingatie.
Mfano mtu mkorofi,muhuni,mshirikina nk
Unajikuta uko mwenyewe
We msukuma hebu niache aisee 😒Kumbe? My friend utakufa vibaya sana. Achana na mtu asiye kutaka
Pole sana kwa kuzaliwa na changamoto za kiafyaUNAUMIA KWA VITU VYA KIJINGA.
1. MZEE : UNA MCHUMBA?
BINTI : SINA.
2. MZEE : UNA MCHUMBA?
BINT : UNATAKA NIKUPE?
RAHISI TU. AU KAMA UNAYE JIBU NINAYE.
Okay sirYeah I feel you
Jichanganye na watu. Usiwe unashinda sehemu moja from morning to evening. Broaden your circle
Daah, pole sanaHakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Watu wanashangaa sana.huwezi kutoa majibu ya shit Kwa wazee hata kama sio wazee wakoPole sana kwa kuzaliwa na changamoto za kiafya
Una mawazo machafu sana
Asante mkuuPole sana mkuu
Asante mkuuDaah, pole sana
Sawa mkuu.Wewe mkulima wa bariadi uliyezamia USA uje uniambie baba yako anamiliki nyumba masaki?
Kawadanganye unaowaweza mpuuzi.
Acha kujipa umuhimu msukuma mshamba
Pole sana kwa kuzaliwa na inferiority complex. Una mawazo ya kichoko sana. IDs za kike na kiume zinakusaidia nini?Pole sana kwa kuzaliwa na changamoto za kiafya
Una mawazo machafu sana
Hahahaha, BP imefikia peak sasa..Sawa mkuu.
Wanaonijua wananijua. Na wanatosha.
Nimielezea maisha yangu kwa namna ambayo mimi naona ya kawaida tu, wewe unaweza kuona najigamba kwa tambo.
Kwa sababu wewe ni masikini mshenzi, hatuwezi kueleeana.
Sina muda wa ku prove chochote kwako.
Na nishamaliza kusema nilichotaka kusema.
Sitaki majibizano yasiyoisha na wewe.
Hujafikia kevel ya kujibizana na mimi. Huna viwango.
Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika.