Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Baba yangu ana biashara zake tangu sijazaliwa, ana nyumba zake, ana biashara kubwa.

Hana shida ya pesa.

Mwaka jana kuna mtu alimfuata alimuomba amuuzie nyumba yake moja kwa dola za Kimarekani milioni 3, akakataa.

Hana shida ya pesa hivyo.

Usichukulie poa tu kwa sababu kwenu wazee wako hoi wanategemea watoto wao, basi kila familia iko hivyo.
Hongera sana, ingalikuwa hivyo na mkwanja upo sawa katika familia, yanini kuwea nje ya bongo na kutwa kucha unachungulia mambo ya bongo. JF kila mtu ndiyo hivyo.
 
Wanakuchora hao stuka mzee dunia haina huruma na mtu kwamba unahisi wanataka kukusaidia hakuna kitu kama hicho watu wanapendaga tu kujuaga unapitia nini usijichanganye kuwajibu maana sidhani kama wanatarajia uwape majibu positive wanataka kuona wewe ni zuzu kiasi gani🤣🤣
 
Sawa baba yako mzazi angekuambia mwanangu fanya mpango uoe

Kwa mujibu wako ungemjibu baba nikupe

usinipotezee mda.
Pole sana kwa kuzaliwa na inferiority complex. Una mawazo ya kichoko sana. IDs za kike na kiume zinakusaidia nini?
wewe ndio unazungumzia machoko unachowaza ndio unachokiiishi

Do youeven know what inferiority complex is? Haha
 
Hongera sana, ingalikuwa hivyo na mkwanja upo sawa katika familia, yanini kuwea nje ya bongo na kutwa kucha unachungulia mambo ya bongo. JF kila mtu ndiyo hivyo.
Mkuu,

Usinipe hongera kwa mambo niliyoyakuta nyumbani nazaliwa. Sikuyafanyia kazi mimi.

Sasa hongera ya nini? Ya kuzaliwa familia yangu?

Si kila mtu anayeondoka Bongo anaondoka kwa sababu ya umasikini wa mali.

Kuna watu wanaondoka Bongo kwa sababu ya umasikini wa kijamii wa akili, utamaduni mbaya, siasa mbovu, sababu za mifumo mibovu.

Kuna watu tangu wadogo tuna mitazamo ya kimataifa zaidi, kukaa na wabongo, kufanya kazi nao, kuishi nao kibongobongo ni mtihani mkubwa sana.

Usikariri kwamba kila anayeondoka Bongo kaondoka kwa sababu ya njaa tu.

Na kuna watu wengi wanaishi maisha magumu kiuchumi nje ya Tanzania kwao Bongo wako vizuri, lakini wanaona huko nje ndiyo kunaendana nao zaidi, wakija Bongo wanaweza kupata unafuu wa kiuchumi lakini kuishi kwa rushwa, majungu, imani za uchawi, kupandiana vichwani, fake modesty, vietue signaling, kunyanyapaana hawawezi.

Pia kuna watu hawapendi kujikita kwenye mali na networks zilizopo za familia, wanataka kuongeza kivyao.
 
Ooh basi na utoto pia umri huo wanatongozwa sana huwezi kumjua nani mkweli nani tapeli!

Hapo ni either una pesa au kitu anacholenga kutoka kwako, huenda umekuwa aina ya mwanaume anayemtaka sasa!

Sahihi kabisa! Basi ichukulie kama chachu!
Mkuu kuhusu mm kuwa mwanaune anaye mtaka huo uongo, ukweli ni kuwa amedoda sasa walio kuwa wanamfanya anikatae kwa sasa wote hawamuhitaji tena😃😃😃😃.
Alafu hata kama hiyo ingekuwa kweli mm nimesha oa na hilo nimesha mwambia sasa mbona haelewi?
Kuhusu pesa mm nina kipato cha kawaida tu kinacho niwezesha kuishi mjini tu na kubadilisha mboga na kukidhi mahitaji ya msingi ya kifamilia tu sina hizo pesa za kumfanya mwanamke anibabaikie.
 
Mkuu,

Usinipe hongera kwa mambo niliyoyakuta nyumbani nazaliwa. Sikuyafanyia kazi mimi.

Sasa hongera ya nini? Ya kuzaliwa familia yangu?

Si kila mtu anayeondoka Bongo anaondoka kwa sababu ya umasikini wa mali.

Kuna watu wanaondoka Bongo kwa sababu ya umasikini wa kijamii wa akili, utamaduni mbaya, siasa mbovu, sababu za mifumo mibovu.

Kuna watu tangu wadogo tuna mitazamo ya kimataifa zaidi, kukaa na wabongo, kufanya kazi nao, kuishi nao kibongobongo ni mtihani mkubwa sana.

Usikariri kwamba kila anayeondoka Bongo kaondoka kwa sababu ya njaa tu.

Na kuna watu wengi wanaishi maisha magumu kiuchumi nje ya Tanzania kwao Bongo wako vizuri, lakini wanaona huko nje ndiyo kunaendana nao zaidi, wakija Bongo wanaweza kupata unafuu wa kiuchumi lakini kuishi kwa rushwa, majungu, imani za uchawi, kupandiana vichwani, fake modesty, vietue signaling, kunyanyapaana hawawezi.

Pia kuna watu hawapendi kujikita kwenye mali na networks zilizopo za familia, wanataka kuongeza kivyao.
Unaongea uongo mtupu. Kwanza mtu kama GSM au hata Bakhresa akitinga US, Unajua ni mtu wa kawaida sana. Hata Samia akiwa US ni sawa na kidukilo tu.

Kila mtu hupenda kuishi pahala ambapo Angalau anaonekana. Ndiyo maana kutwa kucha upo nasi JF. Kwa kijana ambaye alizaliwa TZ na kubalehe akiwa TZ, lazima atamiss maisha ya Tz. Ndiyo maana wanaitwa wanadiaspora etc! Ili Angalau waonje maisha ya kitz.

Wenzako yalitushinda na tupo na umaskini wetu (Bongo kWa Mbongo ni muhimu). Vichelema tulivyototoa huko, Huwezi mkuta anahangaika na JF maana anajiona ni kama Raia wa huko.

Kataa ukubali, una miss Bongo na huku kujimwambafai ni kujiliwaza tu. Pambana na hali yako. Siku yakikushinda, tutakuona unarudi na makoti ya baridi tu! Wadanganye ambao hawajajaribu kuishi katika nchi zao.
 
Tuna changamoto sana watanzania, mtu anakwambia sina, bado unamuuliza kwanini? Alafu ni mtoto wa kike, sio sawa. Minilichojifunza katika maisha ni kuepuka maswali yanayoumiza hisia
1. Una watoto wangapi sasa hivi?
2. Umeolewa? Bora hata kuuliza Umeshaoa kwasababu mwanaume ndiye anauepanga, ingawa nayo sio lazima
3. Unafanya kazi wapi?
Halafu hayo maswali huwa yanakuja wakati huna kazi wala mke wala watoto

Ukiwa fully job,mke,watoto wala huulizwi
 
Back
Top Bottom