Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Nimecheka sanaInakuwaje tena?
Umefurahia hayo mazungumzo?
Dah 😄😄Kuna wale wanasemaga umenenepa siku hizi maisha umeyapatia ehhh😁😁😁 hawa wazuri sana 😁😁😁😁ukitaka ikufundishe namna ya kuwajibu niambie
Ni ngumu lakini bado ipo nafasiPole mkuu, tujitahidi kuwahimiza wadogo zetu, wakiwa kwenye nafasi ya kuoa au kuolewa wasifanye makosa. Ukishavuka 25+ ngumu sana kumpata mwenza sahihi.
Kwa wengine ni lazimaKuoa au kuolewa ni muhimu lakini sio lazima.
Ukutane na wale wanaopenda harusi kuliko wanaigeria weh🙌Mimi pia Wazee wangu wa Enzi za Mkoloni😃.
Wakuache, Muda wako ukifika utawapelekea huyo Mchumba.
Wakiona hujasema chochote wajue tu kuwa Bado, Siyo lazima waulize.
Mzee huyo kwenye mambo ambayo hata yeye anajua si yake moja kwa moja anakuwa muelewa kupita kiasi.Nimecheka sana
Eti tunaweza kuongea?
Unajibu "Hapana"😂😂😂😂
Watu mmepinda.
unajua kuna mambo nyeti nataka nikuambe, nifantaje aiseAah acha kuzua taharuki kipenzi mbona nilishakufungulia dunia kitrambo sana🤸🏽♂️

, ,
Hapo kwenye kujivisha mabomu..haa mkuu 😄Tulia necha iamue ,hizo presha NI sehemu Tu ya KElele za chura hazitamzuia Tembo kunywa maji😂😂😂
Pole Kwa maswali unayopitia wewe sio Mbaya ila muda na Mtu wako vipo njiani au wewe ndio upo njiani bado hujafika.
Haya mambo NI mtiririko wa mambo mengi hivyo tulia Kwanza ,utakuta kuna mtu anakusoma Kwanza iliajeajivishe mabomu😂🤣🤣🤣
Mbongo mpe picha tu.Binti ukifika 30 yrs hujaolewa,kuna 2 kati ya haya.
1.Ni lazima utakuwa na tabia mbaya au za hovyo,hapo ulipo au huko nyuma.Mara nyingi ni umalaya,kiburi,mchafu au muongo
2.Utakuwa unachagua sana,either unataka mwanaume mwenye fedha yaani una tamaa au unachagua mwanaume kutokana na muonekano.
Mwanamke mtiifu,asiyekuwa malaya, kiburi,tamaa,muongo na mchafu na mwenye low expectation hawezi kufika 25 yrs hajaolewa labda awe aba shida za kiafya.
UNaomba nini chief??Naomba
Asante dear♥️Nilipitia hali hiyo, niliulizwa maswali, nililetewa wachumba, nikakalishwa chini kuulizwa kwa kituo, nikawaambia mimi sivutiwi na wanaume, nikaibua mjadala mzito ajabu baba angu na kaka zangu hawakushughulika na mie ila mama na mabinti zake walinivalia njuga.... hatimae nikawaletea mtoto/mjukuu walipoa na sasa wanaanza tena ooh ongeza mwingine, lol, waswahili huwezi kuwaridhisha, ishi maisha yako vile unavyotaka..... i send you my warm hug
Kuna dada hakuwa na nia ya kuolewa wala kuzaa.Nilipitia hali hiyo, niliulizwa maswali, nililetewa wachumba, nikakalishwa chini kuulizwa kwa kituo, nikawaambia mimi sivutiwi na wanaume, nikaibua mjadala mzito ajabu baba angu na kaka zangu hawakushughulika na mie ila mama na mabinti zake walinivalia njuga.... hatimae nikawaletea mtoto/mjukuu walipoa na sasa wanaanza tena ooh ongeza mwingine, lol, waswahili huwezi kuwaridhisha, ishi maisha yako vile unavyotaka..... i send you my warm hug
AsanteImenigusa sana hii, kuwa na subira tu, ipo siku ambayo hukutarajia mambo yatakuwa sawa
Faraja unaanza kujipa mwenyewe kwanza.Mh nimesoma na umenifanya nilitafakari kidogo naona kwa upande mwingine watu tulio nao maishani mwetu tumeshindwa kuwa sehemu ya faraja, hatuna malengo ya moja kwa moja bali tunahitaji kupata kitu fulani basi,
Nimewazoea mkuuDuh! Hatari, pole sana kwa madhila ambayo unayapitia wakati huu lakini siku zote binadamu hatufanani hata kidogo kila mtu ana changamoto zake..pole sana maana ukiangalia age ni lazima tu watakuhukumu ndio binadamu tulivyo inabidi uzoee.
Kuwa na miaka 30+ bila mchumba au mtoto si kushindwa maisha. Kila mtu ana safari yake. Ndoa na watoto ni maamuzi binafsi, si kipimo cha mafanikio. Cha msingi ni kufanya maamuzi kwa utashi wako, si kwa presha ya jamii. Maisha si mashindano.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.
Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.
Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leo🥹