Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Hiyo uende bank maana kwa wenzetu moja ni shs 3,000/= kwa sasa. Huyu Kiranga hajui hata simple arithimetics

You poor sadist fucktard.

Wewe una matatizo ya kisaikolojia.

Sasa hivi utataka kushika mimba ya Kiranga.

Get off my dick already.

You don't know me like that.
 
Nawasubiri wazee wafuatao
👉Yule mwanamke uliyezaa nae humrudishi ?

👉Kwann hujaoa mpaka sasa ?

👉Kwann unashauri watu watoke kwenye ndoa zao

👉Unaongeza lini mtoto

Majibu hayo yatawafanya walewe kabla hawajanywa....

cc Seran min -me
Jamii inapenda tuishi Kwa kanuni za kufanana. Sijui Kwa nn!
 
Niliona interview ya prezzo anasema dont try to please people maana hakuna anaejali, kwasababu ukifa watakusahau haraka na utashangaa msaada wa mazishi watakuchangia haraka kuliko gharama za matibabu,cha msingi wapende wanaokupenda na wajali wanaokujali na chek na anaecheka nawe na msaidie anaekusaidia hivyo tu utakua na amani ya kudumu na furaha
Nimeelewa mkuu
Utumwa wa kufurahisha watu nlishaacha muda.
 
Kipindi cha nyuma nilipohitimu chuo nikawa nasaka ajira kuna mama alinikalia kooni kila akiniona swala kuolewa halimkauki mdomoni kisa tu ni family friend. Swali ambalo hata familia yangu haikuwa ikiniandama nalo na hata sikuwa over 30. One day nikamtolea uvivu nikamjibu "nasubiri ufe mumeo anioe". Ilikuwa varangati ila hakuwahi kuniuliza hilo swali teeena. Siku ya harusi yangu nikamuuliza umeridhika sasa?

Sijui kwanini binadamu tunapenda kufuatiliana sana.
Shida ni kwamba watu wanadhani kila kitu kipo programmed kitokee ktk wakati flani. Wanasahau sisi ni binadamu na kila jambo huja vzr Kwa wakati wake. Hii Imani wengi hatuizingatii, na ndipo shida inapoanzia.
 
Ukishaona mtu anaongelea habari ya "si ajabu" ujue huyo anataka kulazimisha jambo ambalo hana uhakika nalo.

Wewe ni mchawi nimekwambia.

Unapenda kulazimisha matatizo kwa watu.

Mimi nina nyumba yangu in a leafy suburb, vijana wanaokuja vyuoni kutoka Tanzania bila ya kuwa na wenyeji US wanapata angalau sehemu ya kufikia.

Wakija JFK, na Newark wengine naenda kuwachukua nawapeleka mpaka vyuo vya karibu. Ni jambo ninalofurahia kufanya na nikirudi Tanzania wengine watakosa nafasi hii.

Sasa hivi kuna kijana ana kipaji anataka kwenda MIT, ninasaidia kumuandaa akija akute smooth sailing.

Sasa watu wote tukirudi huko nani ata coordinate mipango ya huku?

Nimefanya kazi mpaka Wall Street, if you know what that is. Nina biashara zangu nzuri. Nina Trust Funds mbili, moja ya familia ninakotoka, nyingine ya familia niliyoianzisha mimi mwenyewe.

I am a Trust Fund baby with a Trust Fund baby.

Wewe unajua hata Trust Fund ni nini?

Nje nime park Mercedes Benz GLE 450 4Matic na BMW X5.

Usifikiri kwa kuwa wewe umeshindwa maisha ya ughaibuni ikakubidi urudi Bongo, kila mtu kashindwa kama wewe.

Kama failure imekuzunguka wewe, ni wewe tu, wengine tuko poa.
Maskini, hizo tambo za kutafuta Free P hapa JF ujue
 
Maskini, hizo tambo za kutafuta Free P hapa JF ujue
Hapana,

Umehoji, ukajibiwa.

Wewe una schadenfreude.

Inakuuma sana kuona mtu mwingine kafanikiwa katika kitu ambacho wewe ulikuwa na nafasi ya kufanikiwa lakini ukashindwa.

Huo ndiyo ukweli hapa.

Una kijiba cha roho kwa nini wewe umeshindwa maisha ya ughaibuni ukarudi Bongo, halafu kuna Watanzania wengine wameweza.

Hili ndilo tatizo lako hapa.

Ndiyo maana unaniombea nishindwe maisha huku nirudi Bongo hapo ndipo utafurahi.

Una akili za kichawi.
 
Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?

Ninapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia, mchangayiko na aibu na huzuni. Natoa majibu ya hapana bado. wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.

Shida sio kupata mchumba, shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine. Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.

Jamii yetu ime-adapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani, pale utakaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.

Binti uko over 30 huna hata mchumba, huna mtoto wanabaki eeh🙄
Na je, ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?

Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia, ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya, kimwili zinazopelekea kukosa mwenza. Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia.

Utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa, Wana familia? Wanakushangaa. Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia, hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.

Hakuna anaependa kukosa kitu, Kila mtu anatamani kukipata on time, lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.

Yangu ni hayo Kwa Leo🥹
Unaweza lazimisha uhusiano na ukaolewa na ukabaki kuwa Mwanafalsafa. Mifano mnayo. Kwa maisha ya sasa ni kujikubali tu kwanza.
 
Pole sana! Naamini wenye akili washakujua. Debe shinda haliachi kutika!
Ungejua akili ni nini usingeungaunga hadithi za "usikute" hapa.

Wewe una maumivu ya kisaikolojia ya kushindwa maisha ughaibuni. I know your type.

You are not on my level. Utaniletea uchawi tu hapa.

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Kwani huwa ni lazima?
Mimi yananiogopa kuniuliza yananijua nitakachowajibu..!! 😹

Lingine eti “ Dada ulivyobarikiwa usife bila kutuachia copy” Nikalijibu si nitawaachia balaa muuane na ashki zenu za kuku..!!

Wewe hao wazazi waambie mmenizaa mmemaliza, kuhusu maisha yangu ni jukumu langu kuamua nini nataka na kwa muda gani..!!
 
Back
Top Bottom