Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #381
AminaPole.
Mungu akujalie kheri.
AminaPole.
Mungu akujalie kheri.
Kweli mkuuKuwa na miaka 30+ bila mchumba au mtoto si kushindwa maisha. Kila mtu ana safari yake. Ndoa na watoto ni maamuzi binafsi, si kipimo cha mafanikio. Cha msingi ni kufanya maamuzi kwa utashi wako, si kwa presha ya jamii. Maisha si mashindano.
😂😂😂😂😂 Me naona watu tupo kijivu si nyeusi si nyeupe ndiyo maana tunafikia huku unampenda mtu mpende kwa moyo mmoja kama wew ni wakupita au upo upo kuwa wazi shida wengi ni waongoFaraja unaanza kujipa mwenyewe kwanza.
Na hapo ndipo unapata nuru ya kumvuta mtu mwenye level yako ya faraja mchanganye faraja zenu pamoja mtengeneze synergy ya faraja, the whole being bigger than its part.
Ukipata mtu wako jamii haitakuukiza wewe ndiye utakuwa unawaukiza wao tarehe zioi zinafaa kwa harusi.
Sasa ukikutana na mtu anayekuhitaji wewe um complete, kama yeye mwenyewe hajitoshi, hapo ndipo tatizo linaanza.
Ndio hao mnakuwa nao halafu mkiulizwa ndoa lini, hata wenyewe mnaona mmmh, hapa mbona kama bado niponipo kama MwanaFA, sijafika kituo ninachotaka, napiga misele kutafuta proper parking spot 😂😂😂
Naamini Kila kitu huja Kwa wakati wakeWanaona upoupo tu na umri unasogea.
Na hao wanaowapangia wenzao maisha huwa wanahisi wahusika wamekwama kupanga maisha yao wenyewe😀Kupangiana maisha.
Wanaona show ya kumwambia mtu hapa napita tu sina mpango na wewe ni show ya kibabe sana.😂😂😂😂😂 Me naona watu tupo kijivu si nyeusi si nyeupe ndiyo maana tunafikia huku unampenda mtu mpende kwa moyo mmoja kama wew ni wakupita au upo upo kuwa wazi shida wengi ni waongo
Kuna dada mmoja aliniwashia moto baada ya kumwambia namwihitaji sikuwa na plan naye nilimweleze tu ukweliWanaona show ya kumwambia mtu hapa napita tu sina mpango na wewe ni show ya kibabe sana.
Wanaona ni bora watoe uongo mtamu kwa muda, kuliko ukweli mchungu.
Kisingizio chao ni kwamba wanadanganya kwa kum protect anayedanganywa asijisikie vibaya.
Ukiwachekea wanakupanda kichwaniNa hao wanaowapangia wenzao maisha huwa wanahisi wahusika wamekwama kupanga maisha yao wenyewe😀
Kwa wengine ni lazima
Huwa wanasema wanataka ukweli, lakini mara nyingine ukiwaambia ukweli mnagombana kama umewatukana.Kuna dada mmoja aliniwashia moto baada ya kumwambia namwihitaji sikuwa na plan naye nilimweleze tu ukweli
Kama kagoma kufungua mwambie hapa hapa 🙄unajua kuna mambo nyeti nataka nikuambe, nifantaje aise, ,
Kwa umri nliofoka.ni Bora kuyaishi MaishaWewe unaonaje? Kuna ulazima wa kuolewa upande wako?
Nimekuelewa! Maskini jikalie huko maana si ajabu upo kwa street tu ilimradi upo majuu.Wewe ni limbukeni huna ustaarabu, huna social graces, ndiyo maana unatumia neno "muongo" kirahisirahisi tu. Tukilichambua hutaweza kulitetea.
But I know you will never get that through your head.
Kwa hiyo unataka kusema wewe unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe?
Mimi Tanzania nilikuwa naonekana, najulikana. Nimekimbia kujulikana.
Nimerudi likizo nimefika Samaki Samaki Mlimani City, kuna mtu kaniona anapiga kelele "Mnamjuaa huyuu, mnamjua huyuu?" sehemu yote wananiangalia mimi.
Sasa kuna watu hatutaki maisha hayo ya umaarufu, hayo ndiyo maisha tuliyoyakimbia Tanzania tuje Marekani ambako hatujulikani.
Usikariri tu kwamba kwa kuwa wewe unapenda umaarufu, na watu wa kijijini kwenu wote malimbukeni mnapenda umaarufu, kila mtu yuko hivyo hivyo ana ulimbukeni kama nyie.
Kuna watu wengine tunapenda peace of mind, privacy, hatupendi umaarufu.
Pia wewe una tabia za kishenzi za kupenda wengine wawe na matatizo.
Wajerumani wanaita schadenfreude.
Unalazimisha niwe napamiss Bongo, kwa sababu nakaa JF. Kwanza ku miss Bongo maana yake nini? Bongo ina vitu vingi, kwani siwezi kupenda mazungumzo fulani ya Bongo lakini nikachukia mengine?
Siwezi ku miss mambo fulani yaliyokuwapo Bongo zamani ambayo leo hata nikirudi siwezi kuyakuta?
Why are you this dumb and simplistic and vreating all sorts of false dichotomies?
Unasema ulikaa diaspora, una hasira kwa sababu maisha ya nje yalikushinda ukarudi Bongo unashangaa wengine tumewezaje kuendelea kuishi nje? Is this your problem?
Wewe una fikra za kichawi kuombea watu matatizo.
Na ni watu kama wewe wanaonifanya nishindwe kukaa wa Wabongo.
Kwa sabau hapa hatujakutana tu unataka kunifanyia uchawi, ukikutana nami si ndiyo utaniwekea sumu kabisa kwenye kinywaji nife?
Sister acha tu yani wanadamu ni ngumu kuwalizisha ukikonda watauliza umekonda siku hiz una stress ukinenepa utaulizwa utasikia una mihela siku hizi🤣,cha msingi log off tu left group achana na watesiDah 😄😄
Hiyo uende bank maana kwa wenzetu moja ni shs 3,000/= kwa sasa. Huyu Kiranga hajui hata simple arithimetics8,037,000,000/=
Wakati wa Bwana badoKwa umri nliofoka.ni Bora kuyaishi Maisha
Kuolewa hata isipotokea sio lazima
Ukiwaendekeza wakaupelekeshaSister acha tu yani wanadamu ni ngumu kuwalizisha ukikonda watauliza umekonda siku hiz una stress ukinenepa utaulizwa utasikia una mihela siku hizi🤣,cha msingi log off tu left group achana na watesi
Niliona interview ya prezzo anasema dont try to please people maana hakuna anaejali, kwasababu ukifa watakusahau haraka na utashangaa msaada wa mazishi watakuchangia haraka kuliko gharama za matibabu,cha msingi wapende wanaokupenda na wajali wanaokujali na chek na anaecheka nawe na msaidie anaekusaidia hivyo tu utakua na amani ya kudumu na furahaUkiwaendekeza wakaupelekesha
Duhh kweli atakuwa kachoka sana aisee kwani hana crush wengine huko😆Na bora asingenikataa kwa nyodo kwanza huyu demu hana aibu kabisa maana kwa Yale maneno aliyo nitamkia siamini kama ndo yeye ambaye sasa hivi eti ananisumbua sijui lengo lake nn na hakati tamaa.
Sasa hivi nimekaa kimkakati maana anavyo nisaka anaweza kunipiga kipapai akaniteka nikatelekeza familia.
Ndio kuwa makini kama mlishindwana piga chini hakuna haja ya kuonja!Nakatika kitu ambacho siwezi kuthubutu kufanya ni kumkubalia kwa lengo eti la kupiga na kukimbia inaweza kujidanganya kumbe ni mtego nikanasa mazima nitakuwa fala wa mwisho Dunia hii.
Nimekuelewa! Maskini jikalie huko maana si ajabu upo kwa street tu ilimradi upo majuu.