Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

Kama tatizo unalijua kwa nini unalala nao sasa...

Tafuta mwanamke, oa kwanza, alafu lala nae ndani ya ndoa...


Cc: mahondaw
 
Maajabu yake kuna mtu kalike hii kahawa.
 
Acha stori za kiwaki dogo idadi bado ndogo hiyo ongeza ongeza wafike hata 40 ndio uje tena na hoja yako hiyo.

Acha kuleta utani na talent za watu

.
 
Hujatuambia unapowalala huwa unawafanyia nini mpaka wakugande au nini cha pekee ulichonacho kinachowavuta kwako
 
Asubuhi anapo aga mtoe matenga
Usimpe hata ya "sabuni"uone kama watakung'ang'ania
Mkuu bana,wanang'ang'ania hela yako SIO wewe
 
Mithali : Mlango 6

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Haya ndio maandiko yanayohamasisha ushoga. Wanataka mzini ninyi kwa ninyi, futi kafutika futi...
Ndio maana Vatican hii michezo haiishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…