Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

Kama tatizo unalijua kwa nini unalala nao sasa...

Tafuta mwanamke, oa kwanza, alafu lala nae ndani ya ndoa...

Cc: mahondaw
 
Maajabu yake kuna mtu kalike hii kahawa.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).

Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.

1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.

2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.

3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.

Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.

Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.

Karbu sana na asanten wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha stori za kiwaki dogo idadi bado ndogo hiyo ongeza ongeza wafike hata 40 ndio uje tena na hoja yako hiyo.

Acha kuleta utani na talent za watu

.
 
Hujatuambia unapowalala huwa unawafanyia nini mpaka wakugande au nini cha pekee ulichonacho kinachowavuta kwako
 
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).

Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.

1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.

2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.

3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.

Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.

Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.

Karbu sana na asanten wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi anapo aga mtoe matenga
Usimpe hata ya "sabuni"uone kama watakung'ang'ania
Mkuu bana,wanang'ang'ania hela yako SIO wewe
 
Back
Top Bottom