Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha stori za kiwaki dogo idadi bado ndogo hiyo ongeza ongeza wafike hata 40 ndio uje tena na hoja yako hiyo.Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).
Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.
1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.
2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.
3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.
Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.
Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.
Karbu sana na asanten wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😜😜😜😜
Hahahaha Mimi mwaka huu nakuja kujitambulisha kwenuMkuu me kinyume chake kila nnae lala nae ananiacha duuh I hope 2019 my story will change ntapata mume mwema
Asubuhi anapo aga mtoe matengaWakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).
Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.
1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.
2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.
3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.
Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.
Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.
Karbu sana na asanten wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msingi kiuno.. hahaha...!!Natafuta kazi itakayonipatia mtaji. - JamiiForums
Kazana ndugu mtaji unaweza toka hapa hapa pa kung'ang'aniwa na wanawake.[emoji6][emoji6]
Nimependa ulivyoanzia...(m.kuumamayako)Mkuu mama yako ameshaacha kuleta wanaume home!?tuanzie hapo usikute hiyo ndio sababu
Sent by Diaspora
Haya ndio maandiko yanayohamasisha ushoga. Wanataka mzini ninyi kwa ninyi, futi kafutika futi...Mithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.