Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
Nikimtegea nimeelewa Kumbe sijalewa,alivyoanza kuserch mifukoni nikadaka mkono,alitetemeka balaa!Nikampa bonge la kofi .
 
kUna jamaa nilikuwa namdai laki moja,tukaenda bar,wakat wa kurudi ile kanifikisha nyumban akanipa ile laki

Kesho yake naamka kuna 60,000 mfukoni
Kwa akili yake alijua akichukua sitaweza fahamu

Baadhi ya mabro walioko kwenye ndoa muda mrefu wanakwambia wanawake wengi wana hii tabia
 
Back
Top Bottom