Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ndo ipo hvyo,niliwah kufanya kazi ya uwakala wa mitandao,sasa kuna pesa ambazo ziko mchanganyiko wa buku,buku mbili na elfu 10 nilikuwa naondoka nazo narudi nazo nyumban,afu zile ambazo zipo elfu kumi kumi kwenye bando bando za laki nikawa nazificha dukanHata usipolewa Wana search!
Kwahyo ninaweza kurudi nyumban na laki 3,lakin nilikuwa sihesabu,kumbe mwenzang usiku lazima achomoe,nilikuja kugundua baada ya kuona mbona biashara sielew,mtaji auongezeki